Walimu wa nchi hii ni wapumbavu sana
Mkuu I hope Una ushauri mzuri,unashauri wafanye nini ili wasiwe wapumbavu? Toa procedures za kuchukua
Umeongea vizuri mwerevu ila wapumbavu kama mie huoenda kuona japo vi data viwili vitatu ili kuona uhalisia kwa picha. . . .
1. Mtu akishaanza kutaja political will ni sawa na kisema majaaliwa ya Mungu. . . . Una hoja gani juu ya hili?!!
2. Economic ability sawa. . . . .Je hiyo ability kwa projection yako/yenu itakuwa tayati baada ya muda gani kuweza kuhudumia hao wahitaji??!!!
3. Rambirambi, zawadi na dharura havihitaji chama na michango ya kila mwezi huku mitaani wapumbavu sie tunazika, tunapeana zawadi, na.tunauguzana na hatuna chama wala jengo. . . . .Hebu nitoe upumbavu kwa asilimia ya michango inayoenda kwenye zawadi, rambirambi na dharura ewe mwerevu. . . . .
Nimebaini kuwa walimu wengi wanakerwa sana na CWT, ndio maana zipo juhudi za makusudi kuivunja, hivi karibuni kumekuwa na wimbi la baadhi yao kutaka kujitenga na kuanzisha chama chao kingine kitakachokuwa na makato yasiyozidi 1% na katiba isiyokuwa na unyonyaji kama wa CWT!
Dah Sidhani kama huu ushauri una msada sana kwa sababu kuna baadhi ya mambo uliyoyasema hapo wanayajua na wanayafanyia kazi.Kwa kadiri ya post yako ya kwanza nadhani kuna kitu unataka wafanye lkn hata wewe hukijui hicho kitu ni kipiMi nahisi wanahitaji kujitambua kwamba wao ni nani?na hilo watafikia kwa kujifunza na kufahamu katiba ya chama chao cha walimu ambapo naamini zaidi ya walimu asilimia tisini hawaijuiPili wafahamu kanuni za utumishi kitu ambacho kitawapelekea kujiamini,Si ajabu kukuta mwalimu anatumia mshahara wake kununua chaki au kukuta mwalimu anafundisha masomo tisa bila kujali professional na hukaguliwa kwayo na na pengine ukaguzi ukabaini amefundisha chini ya kiwango na hakuna skel rasmi kwamba ni masomo mangapi
"Mjinga hujifunza mpumbavu hubisha "
Katika nchi yetu ya Tanzania kundi kubwa la wafanya kazi ni walimu, lakini kwa maoni yangu ni kundi ambalo halijitambui kabisa na ni kinyume na lilivyotarajiwa.
Kero kubwa kwa walimu sio serikali bali ni chama chao kinachiotwa (CWT) ambacho kipo kwa ajili ya kuwaplease walimu pale wanapokuwa na lengo la kudai maslahi yao kwa Serikali.
Na chama hiki kimewafanya walimu kama mazombi na mtaji wa maisha ya wachache wanaojiita CWT, na hata hivyo uzombi huo wa walimu unadhihirika siku hadi siku.
Kwani wapo walimu hawajui hata ofisi ya CWT katika wilaya zao na hata kazi ya chama katika maisha yake ya kazi lakini anakatwa mchango wa CWT,
Je, walimu ni wajinga au wapumbavu?
Waalimu wakiwa wajinga au wapumbavu, je wanaowafundisha watakuaje (wewe)? Unataka kuwatumia waalimu kwa maslai yako binafsi ya kisiasa! Umenoa jipange tena maana hamna namna nyongine."Mjinga hujifunza mpumbavu hubisha "
Katika nchi yetu ya Tanzania kundi kubwa la wafanya kazi ni walimu, lakini kwa maoni yangu ni kundi ambalo halijitambui kabisa na ni kinyume na lilivyotarajiwa.
Kero kubwa kwa walimu sio serikali bali ni chama chao kinachiotwa (CWT) ambacho kipo kwa ajili ya kuwaplease walimu pale wanapokuwa na lengo la kudai maslahi yao kwa Serikali.
Na chama hiki kimewafanya walimu kama mazombi na mtaji wa maisha ya wachache wanaojiita CWT, na hata hivyo uzombi huo wa walimu unadhihirika siku hadi siku.
Kwani wapo walimu hawajui hata ofisi ya CWT katika wilaya zao na hata kazi ya chama katika maisha yake ya kazi lakini anakatwa mchango wa CWT,
Je, walimu ni wajinga au wapumbavu?
Wewe ni nani kwanza hata ufatilie mambo ya wengine? aka walimu & had uwaite wajinga. ulikuwa hujui kusoma ww sasa unafahamu ndo unawalipa walimu wako kwa matusi? respect kwa walimu kwa kujitoa kwao. we'r all your products.
Walimu wa nchi hii ni wapumbavu sana
Mkuu, mke wangu ameanza kukatwa kwenye chama hiki na hajajaza fomu yoyote yupo kwenye ajira miaka 3 na ameanza kukatwa mwaka huu.
Kwa hiyo upumbavu wa mkeo ndio unakufanya utukane walimu wote?????????????
Siku zote nakuonaga una kauli za shombo sana dhidi ya walimu wewe kaka, namuonea huruma mkeo kwa kweli.
mkuu acha kabisa watu wanadharau kaz za watu humu wakat wengi wa wanaotoa dharau hizo wengi wao n kula kulala tu.
Ndio hao wanakaa na kufikir serikali ndio itakayowapa hela, chakula n.k bila hata ya kujishughulisha..
Umefanya jambo gani kuwasaidia hao walimu unaowaita wajinga au wapumbavu ili watatue hayo matatizo yanayofanya uwaone wajinga au wapumbavu?. Au ndio unazidi kuwapelekea watoto wako, wadogo zako na ndugu zako nk wawafundishe wakati unawadharau kuwa walimu ni wajinga na wapumbavu?
Wamekufundisha ukajua kusoma na kuandika na kuchangia JF halafu unawatukana wajinga au wapumbavu. Ungeonekana mwerevu kama ungejiongeza zaidi yaani badala ya kuwatukana uwape ushauri au suluhisho wafanye nini kutatua matatizo waliyo nayo.
Hapa kunawatu tukisema wathibitishe kazi zao wanaweza kuhama jf ila kudharau kazi za watu ndio midomo juu kama chuchunge.
Kama walimu wenyewe wameridhika wao wanakerwa na nin???