Hivi walimu ni wajinga au wapumbavu?

Hivi walimu ni wajinga au wapumbavu?

Siku hz hatufundishi, wakaguzi wakinibana CWT wanakuja kunitetea na kwa sababu CWT ni tawi la CCM na mgao wanapiga pamoja, wanamaliza kishikaji, mimi narudi kuendelea kula mshahara wa bure na watoto wako wanaendelea kugonga zero, harafu nakushangaa wewe unayetaka nikomalie 12000
 
Hahahaaaaaaa na mko wengi sana wenye akili mgando.km wewe ambao hasira A kubinywa na gmnt mnawaangukia watoto wetu kwwli walimu mazombi
 
"Mjinga hujifunza mpumbavu hubisha "
Katika nchi yetu ya Tanzania kundi kubwa la wafanya kazi ni walimu, lakini kwa maoni yangu ni kundi ambalo halijitambui kabisa na ni kinyume na lilivyotarajiwa.

Kero kubwa kwa walimu sio serikali bali ni chama chao kinachiotwa (CWT) ambacho kipo kwa ajili ya kuwaplease walimu pale wanapokuwa na lengo la kudai maslahi yao kwa Serikali.

Na chama hiki kimewafanya walimu kama mazombi na mtaji wa maisha ya wachache wanaojiita CWT, na hata hivyo uzombi huo wa walimu unadhihirika siku hadi siku.

Kwani wapo walimu hawajui hata ofisi ya CWT katika wilaya zao na hata kazi ya chama katika maisha yake ya kazi lakini anakatwa mchango wa CWT,

Je, walimu ni wajinga au wapumbavu?

Hapana siyo wajinga wala wapumbavu! Wako tu kama baba yako!
 
Walimu sio wajinga wala wapumbavu, inaonenyesha wewe upeo wako wa kufikili sio mzur kwa maana hata jeur ya kuandika na kusoma hapa jf uweupata kwa ajili ya mwalim
 
"Mjinga hujifunza mpumbavu hubisha "
Katika nchi yetu ya Tanzania kundi kubwa la wafanya kazi ni walimu, lakini kwa maoni yangu ni kundi ambalo halijitambui kabisa na ni kinyume na lilivyotarajiwa.

Kero kubwa kwa walimu sio serikali bali ni chama chao kinachiotwa (CWT) ambacho kipo kwa ajili ya kuwaplease walimu pale wanapokuwa na lengo la kudai maslahi yao kwa Serikali.

Na chama hiki kimewafanya walimu kama mazombi na mtaji wa maisha ya wachache wanaojiita CWT, na hata hivyo uzombi huo wa walimu unadhihirika siku hadi siku.

Kwani wapo walimu hawajui hata ofisi ya CWT katika wilaya zao na hata kazi ya chama katika maisha yake ya kazi lakini anakatwa mchango wa CWT,

Je, walimu ni wajinga au wapumbavu?

Badili kichwa cha Uzi wako maana unawazungumzia wanachama wa cwt na si walimu,walimu si wote waliowanachama wa cwt, pili chagua lugha sahihi ya kuongea na kundi lililokufanya ujue kuandika hata huo uzi!
 
Mim nimeshuhudia mwl aliletewa fitina na mkurugenzi akataka kufukuzwa kazi CWT ilimsaidia
 
Mala zote mm najua mtu aliye elimika ana attack issues not personality.Inawezekana ana hoja lkn kitendo chake cha kuwaita walimu WAPUMBAVU sio cha kisomi ni UJUHA na UHUNI tu ndio uliokuongoza kufikia kutoa hii thread.Be smart bwana.Hata hvyo ww kutofaidika na CWT inategemea na matatizo unayokumbana nayo kazini.Its just like NHIF umuhimu wake unauona paleunapoumwa do not expect CWT kukupa hela ya kula.Believe me,after 5yrs hiki chama kitakuwa kimbilio na mfano wa kuigwa miongoni mwa vyama vya wafanyakazi.NOTE:unajua uwepo wa vyama km Talgwu,Tughe nk ambavyo pia hukata asilimia ya mishahara toka kwa watumishi,why always CWT? watumishi
 
swali lako jibu litoke kwa walimu wenyewe, pia wakati wanakujibu naomba wanijibu na langu: ni vipi walimu wanashindwa kufundisha wakati hakuna mwl anafundisha wanafunzi wanaomzidi elimu? kwani mwl wa msingi kamaliza sekondari, wa sec ni undergraduate, na wa vyuo ni graduates na post graduates, au ndio hapo tuhuma ya ujinga au upumbavu wa kada hiyo unapoanzia?
 
si ndo hapo? Kama mwlm anashida mwache na shida zake yeye kakubaliana na hali halisi..

Wengi wanaropoka humu lakn kumbe wanalishwa na mashemeji zao lakn wakikaa nyuma ya keyboard dharau zmewajaa.

Shangaa na wewe! wengi wanao watukana walimu hawana kazi stress za kukosa kazi!
 
"Mjinga hujifunza mpumbavu hubisha "
Katika nchi yetu ya Tanzania kundi kubwa la wafanya kazi ni walimu, lakini kwa maoni yangu ni kundi ambalo halijitambui kabisa na ni kinyume na lilivyotarajiwa.

Kero kubwa kwa walimu sio serikali bali ni chama chao kinachiotwa (CWT) ambacho kipo kwa ajili ya kuwaplease walimu pale wanapokuwa na lengo la kudai maslahi yao kwa Serikali.

Na chama hiki kimewafanya walimu kama mazombi na mtaji wa maisha ya wachache wanaojiita CWT, na hata hivyo uzombi huo wa walimu unadhihirika siku hadi siku.

Kwani wapo walimu hawajui hata ofisi ya CWT katika wilaya zao na hata kazi ya chama katika maisha yake ya kazi lakini anakatwa mchango wa CWT,

Je, walimu ni wajinga au wapumbavu?

Ungelalamika hivyo kisha ukatoa maoni yako,kua hap walimu wafanye nini angalau.Na mtu kutokujua ofisi ya CWT sioni kama ni tatizo la kumuita mtu kwa maneno hayo.

Ulikua na wazo zuri sana ila uwasilishaji wako ndo una utata.Na kama hata katika maongezi huwa uko hivyo basi ni tabu tupu huko unakoishi.
 
Mim nimeshuhudia mwl aliletewa fitina na mkurugenzi akataka kufukuzwa kazi CWT ilimsaidia

Huu ni uongo ulio tukuka, mtu anafukuzwa kazi kwa kufuata taratibu na sheria , cwt itapingana na sheria? kwanza hata wao wako chini ya ded watamzuiaje? hawa jamaa ni miradi ya watu.
 
Jamani nani awatetee hawa. Ila tatizo walimu wengi wamegushi vyeti. Hivyo huogopa mgomo ili kulinda ajira. Kilio cha walimu ni cha samaki.
 
Cwt ni zaidi ya chama tawala. Hawana huruma hata kidogo.

Kwakweli, cwt wezi kweli tena kuanzia wilayani hadi taifa. Kila mwezi inatakiwa warudishe asilimia kadhaa ya mchango wakila mwanachama kituoni kwake bt hawarudishi. Chama hakina msimamo wamebakia eti "shemeji unatuachaje!" Hawaoni hata mfano Wa wenzao Wa kenya
 
"Mjinga hujifunza mpumbavu hubisha "
Katika nchi yetu ya Tanzania kundi kubwa la wafanya kazi ni walimu, lakini kwa maoni yangu ni kundi ambalo halijitambui kabisa na ni kinyume na lilivyotarajiwa.

Kero kubwa kwa walimu sio serikali bali ni chama chao kinachiotwa (CWT) ambacho kipo kwa ajili ya kuwaplease walimu pale wanapokuwa na lengo la kudai maslahi yao kwa Serikali.

Na chama hiki kimewafanya walimu kama mazombi na mtaji wa maisha ya wachache wanaojiita CWT, na hata hivyo uzombi huo wa walimu unadhihirika siku hadi siku.

Kwani wapo walimu hawajui hata ofisi ya CWT katika wilaya zao na hata kazi ya chama katika maisha yake ya kazi lakini anakatwa mchango wa CWT,

Je, walimu ni wajinga au wapumbavu?
Sidhani kama unawaheshimu hata wazazi wako wewe!
 
Shangaa na wewe! wengi wanao watukana walimu hawana kazi stress za kukosa kazi!

watu wapumbavu sana,
huwa mm na kerwa sana na dharau za kipumbavu kama za hili jamaa,,

jitu linakula kwa jasho la dadaake halafu linakuja kudharau kaz za watu
 
Back
Top Bottom