Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,271
- 13,429
Unaweza ukafundishwa na mpumbavu na ukawa mwerevu na hii ni kitu ya kawaida kabisa kwani kazi ya mwalimu ni kujenga base tu ila maarifa huwa yanapatikana kulingana na mazingira tulionayo
Mfano mitaala yetu haifundishi staudy za kopyuta hadi ufike elimu ya vyuo lakini tunajua kopyuta na alichosaidia mwalimu ni kutufundisha kusoma na kuandika tu tena kwa kalamu
ww sio mtu makin kabisa..