Mimi nikimsaidia kufikiri, kazi iliyo bora hapa Tanzania ni UBUNGEMtoa mada naomb nikuambie jambo kwamba kama kwel ni mcha Mungu waombe radh walimu kwa kuwa hizo lugha mbil ulzotumia si za kiungwana. usimdharau mwinzako kwa kaz anayofanya tunaish kwa kutegemeana kwa kila idara pale unapoona kuna mapungufu katika idara ya mwenzako una nafasi ya kushauri na si kutumia lugha mbovu kiasi hcho kwan hata Mungu sidhan kama inampendeza. mwenzako anatoa sadaka yake kwa kazi anayofanya kwa nini umtukane?
Wewe unafikiri kazi gan iliyo bora hapa Tanzania? Then utambue USIACHE MBACHAO KWA MSALA UPITAO. Kwa kwel lugha uliyotumia ni ya kukatisha tamaa lakini okay nakubaliana na falsafa inayozungumzia kwamba "hakuna kweli moja"