Hivi walimu ni wajinga au wapumbavu?

Hivi walimu ni wajinga au wapumbavu?

Mimi ni mwalimu siko CWT na si walimu wote wanaendeshwa na CWT. Kuwa na adabu kidogo.
 
Big namer makes the news.
Ndugu kama cwt wanakuzingua,kuna plan b ya chama cha walimu kimesajiliwa mwaka huu kama sio mwaka jana.

Hamia huko........na uache matusi ya nguoni, utapata laana.
 
ndo maana watoto wetu wanafeli, kama mwalimu anayewafindisha yuko hivi. Tena huyu inaonesha anafundisha hadi kidato cha sita.
 
Sasa ka huwa wanachukuliwa wale wenye pass za kawaida ili wawe waalim ulitegemea nn?
 
Kama wewe si mwalimu makato yangu yanakuhusu nini?

je nimekuja kwako kuomba msaada baada ya kulemewa na makato?

wewe chama chako kimewasaidia nini watanzania?

Nilipanga kukuporomoshea matusi hapa LAKINI haiba ya ualimu inanizuia.
 
Angesema walimu walio wengi ni wajinga ningemuunga mkono. Kwani hata mimi hapa kuna mambo mengi nimekuwa mjinga. Ila nikipata elimu ya kujua hayo nitajua tu. Ila unaposema ni wapumbavu hapo umekosea mkuu. Kwani kunawalimu wanafurukuta kujitoa kwenye huyu mdudu CWT lakini wanakosa support.
 
Kama wewe si mwalimu makato yangu yanakuhusu nini?

je nimekuja kwako kuomba msaada baada ya kulemewa na makato?

wewe chama chako kimewasaidia nini watanzania?

Nilipanga kukuporomoshea matusi hapa LAKINI haiba ya ualimu inanizuia.
Mkuu unapo katwa malipo fulani katika mshahara pasipo kuwa na faida nayo ni hasara hiyo. Sema tu jamaa katumia lugha chafu hasa neno mpumbavu. Ila ujumbe wake ulikuwa na mantiki. Hamna mwalimu hata mmoja anayeitaka hiyo CWT labda wale wanaofanya kazi kwenye hiyo taasisi na kunufaika nayo
 
CWT ni chama cha kinyonyaji, itashangaza sana kumuamuru kupe anayeishi kwa kunyonya damu aache kufanya hivyo...katu hawezi, atakufa!
 
Sasa inahusiana nini na siasa!? mleta mada wewe ni mwalimu!? kama sio mwalimu inkuuma nini!?
 
Walimu sio watu wa kubeza .kama walipelekwa watu waliofeli darasani kuwa walimu na humo humo wakaweza kufanya watoto wetu watoke na matokeo mazuri nahitaji kuwapongeza.nawafahamu watu waliomaliza vyuo vikuu na GPA kubwa lakini wanachofanya kazini kwao inasikitisha,pia wapo walomaliza vyuo hivyo hivyo na GPA za chini lakini utendaji wao ni wa hali ya juu.
 
CWT ni chama cha kinyonyaji, itashangaza sana kumuamuru kupe anayeishi kwa kunyonya damu aache kufanya hivyo...katu hawezi, atakufa!

ebu tuwe wawazi je kuna mfanyakaz hakatwi na chama chake cha wafanyakaz hapo tu kwanza mana kila siku cwt cwt
 
Mleta maada katumia maneno makali Lakin yupo sahihi sana hiki chama kinakusanya a lot of millions but in return ni majanga faida kubwa ya ualimu ni kwamba unapata ajira bila kusotea yaan after college ajira hyo tofaut na kada zingine ad utume maombi then interview inakuja ila ki ukwel ualimu ni shida ila jipen moyo siku moja mtafurahia kaz yenu
 
je ww hukatwi na chama chako cha wafanyakazi? na kama unakatwa wamefanya nin hao viongoz wa chama chako mtu ambaye ni mfanyakaz wa umma anapochangia mada hii kwanza atuambia hakatwi na chama chake?
 
Ka uzi chokonozi ila kana ujumbe . . . . . . .Dawa chungu
 
je ww hukatwi na chama chako cha wafanyakazi? na kama unakatwa wamefanya nin hao viongoz wa chama chako mtu ambaye ni mfanyakaz wa umma anapochangia mada hii kwanza atuambia hakatwi na chama chake?
Usi panic bro. . . . . .
leo mada ni walimu we unaridhika na makato??!!
Pesa yako unayokatwa inaleta thamani ya makusudio??!!
Leo ungepewa nafasi ya kushauri ungekuwa na maoni gani juu ya chama na makato husika????

Wengine kukatwa au la haifanyi jambo lako lisijadiliwe. . . . .
 
Mi naona walimu wanavyo vyote, ujinga na upumbavu! Wao ni wepesi sana kuhadaika, hela zao za malimbikizo zikitolewa wale wanaojiita "wakubwa" wanakopeshana kama siyo kugawana huku walimu wakiendelea kutaabika! Wapo walimu ambao hadi leo wamefariki wakidai hela!
 
Back
Top Bottom