Friday Malafyale
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 1,808
- 2,911
Je kuna ulazima mabinti walimbwende mnaitaga ma Miss ni lazima wawe wembamba na wamedhoofu afya zao?? Maana namwona Miss Tz 2016 Diana Lukumay akiwa amedhoofu. Kwani sifa ya kuwa miss Tanzania lazima lazima ikondeane na mifupa itoke juu. Nawasilisha