Hivi wale mnaoombaga mechi ni kweli?

Hivi wale mnaoombaga mechi ni kweli?

[emoji3][emoji3][emoji3] basi ushakuwa mtumwa wangu tena

Ila ipo siku nitajitahidi kumwambia akijua yeye nakuwa sio mtumwa tena

Ila bado haiwezekani uwe unamjua bhana...yani umemjuaje ?
 
Usiniulize nimemjuaje, au nikusaidie kumwambia?
 
Wengine tukiona tu I'd za kike lazima tuombe game tusipo kuomba game unataka uombwe na wanyama.
 
Weee!yule lazima atakuwa mbaba tena mbaba mkubwa aliye serious na family yake

Hachekagi hovyo kule jukwaa la tech...in short huna pa kumuanzia mie mwenyewe nilishindwa [emoji852][emoji45]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Weee!yule lazima atakuwa mbaba tena mbaba mkubwa aliye serious na family yake

Hachekagi hovyo kule jukwaa la tech...in short huna pa kumuanzia mie mwenyewe nilishindwa [emoji852][emoji45]
Unanichukulia poa eeh? We sema ndio nikufanyie mambo
 
Huwa wanatania, ila ukiamini utani husahau kama wanatania..[emoji28][emoji28][emoji28]
Unakuta mtu anawapondea wanaume wanakuja wanaume wengine wanadai kuomba mechi hivi mpogi serious??
Nashangaa hujawahi kuniona halafu unaomba mechi kweli??
Hii inakuwaje naombeni mnijuze.
 
Hueleweki kimaelezo wala unachotaka!!!!

Back
Top Bottom