Hivi wale mnaoombaga mechi ni kweli?

Hivi wale mnaoombaga mechi ni kweli?

Kinacho nifurahisha katoto kazuri huwa unaazisha mada ili ubishane nje ya jamii forum unaonekana ni muongeaji mzuri mno.
 
Kila nikijaribu kutaka kuandika katika uzi huu napata taabu...

Tufafanulie vizuri unamaanisha nini wewe katotoo
 
katoto kazuri PLS NAOMBA MECHI YA KIRAFIKI NA WEWE !!

NATAKA TO PROVE VALIDITY YA UZI WAKO😍😍😍😍😍


Unakuta mtu anawapondea wanaume wanakuja wanaume wengine wanadai kuomba mechi hivi mpogi serious??
Nashangaa hujawahi kuniona halafu unaomba mechi kweli??
Hii inakuwaje naombeni mnijuze.
 
Mbona kawaida tu hii mkuu genye zikishika unaomba tu
 
Back
Top Bottom