katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
- Thread starter
- #141
Oh okeyKwani kufahaamiana ndio nini mana mwisho wa siku hata mkijuana lazima mtataka kuunganisha vikojoleo
Oh okeyKwani kufahaamiana ndio nini mana mwisho wa siku hata mkijuana lazima mtataka kuunganisha vikojoleo
Yes and Nona nyie hua mnatamani mechi na sisi ? yani hata huna uhusiano na mtu uliyemtamani
Nilitaka wakat umekuja kunipikia ndo nikuombe game siriaz,Kupika biriani nini? Sema tu ukweli
Mpatie tu apunguze mzigo;sana sana utakuta ni hisia tu bila kujali muonekano wa mtuUnakuta mtu anawapondea wanaume wanakuja wanaume wengine wanadai kuomba mechi hivi mpogi serious??
Nashangaa hujawahi kuniona halafu unaomba mechi kweli??
Hii inakuwaje naombeni mnijuze.