Hivi wale mnaoombaga mechi ni kweli?

Hivi wale mnaoombaga mechi ni kweli?

Unakuta mtu anawapondea wanaume wanakuja wanaume wengine wanadai kuomba mechi hivi mpogi serious??
Nashangaa hujawahi kuniona halafu unaomba mechi kweli??
Hii inakuwaje naombeni mnijuze.
Kazi ipo
 
Sasa si ungesema tu mapema watu wajue shida ni dudu, badala ya kuhangaika na mada zisizoeleweka!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tatizo nimesema na dalili ya mvua ni manyunyu hadi niseme wazi tu na kwani nyie watoto hamuoni
 
Unakuta mtu anawapondea wanaume wanakuja wanaume wengine wanadai kuomba mechi hivi mpogi serious??
Nashangaa hujawahi kuniona halafu unaomba mechi kweli??
Hii inakuwaje naombeni mnijuze.
Mkuu Samahan cjakuelewa Naomba unieleweshe kidogo

Nipo siriaz, usije hisi ndo wale wanaoamua kuharibu uzi
 
Nataka kumpa handsomw mwenye gari hapangi na yupo single nitampata humu japo kwa miezi 6?
Mpaka honey wangu aje?
Kua mpole, ni muda wa wenzio kuhudumiwa. Zamu yako ikifika utahudumiwa pia!

Hauko peke yako!
 
Back
Top Bottom