Hivi wadada kama hawa wapo dunia hii?

Hivi wadada kama hawa wapo dunia hii?

uzuri ni tabia ya mtu.. hizo sura ni ziada tu kwanza na makeup zinawasaidia, ukimkuta asubuhi wakati mdio kaamka aisee unaweza ukamkataa.

tabia inrekebishwa mkuu ila sura huwez rekebisha hata kwa make up za bei ghali
 
Yani ata kama wewe upo kama uyo kwakua uko karibu... ..basi nahisi mlango wa neema umeanza kufungukia hapahapa jf...niko better...hahaaa.

mdogo wangu umeniuwa umesema uko better? Kaza mwendo hii ngazi utaipanda kweli?
 
mdogo wangu umeniuwa umesema uko better? Kaza mwendo hii ngazi utaipanda kweli?

Mi sio mdogo infact.. ..Sipandi kama ngazi...nakwea kama lift...bila kutumia nguvu
Hapo vp napata mzigo??
 
Mi sio mdogo infact.. ..Sipandi kama ngazi...nakwea kama lift...bila kutumia nguvu
Hapo vp napata mzigo??

ongea yako tu inakudefine udogo wako. Kuwa karibu na babu zako akina asprin walifanyaje fanyaje
 
Back
Top Bottom