luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,798
We ni mbibii
ndio nimezeheka sana. Ila nina uwezo wa ku kukompiti na under 20 ulizo nazo. Nina uakika nikiingia nao lig lazima waachie ngazi
We ni mbibii
Jungle Fever...
Umetembea nchi ngapi dunia hii?
Ushafika Ibiza? San Huan? Acapulco Bay? San Tropez? Montego Bay? Copacabana? Waikiki Beach? The original Coco Beach? Monaco? Caracas? Bogota? Stockholm? Mayotte? Copenhagen?...
Mtafutw Angelina Jolie, na hana matiti hv sasa.
Kwani wewe hiyo picha umeipata wapi?
ndio nimezeheka sana. Ila nina uwezo wa ku kukompiti na under 20 ulizo nazo. Nina uakika nikiingia nao lig lazima waachie ngazi
huyo akija hapa kitaa Fifty bora haingii
Itabidi ulipie malazi...na makazi maana utakuwa una faidika sana....Aisee mi nakua hous kaka free of charge kabisaa
Itabidi ulipie malazi...na makazi maana utakuwa una faidika sana....
we kiraaaaaaaa.........Jungle Fever...
Umetembea nchi ngapi dunia hii?
Ushafika Ibiza? San Huan? Acapulco Bay? San Tropez? Montego Bay? Copacabana? Waikiki Beach? The original Coco Beach? Monaco? Caracas? Bogota? Stockholm? Mayotte? Copenhagen?...
kweli, wahabesh si mchezo, wapo wakali saaaaana,Ethiopia wapo wa kumwaga tena bush mbaya.
kweli mkuu...unayajua maeneo.Malibu? Borabora? Barbados? Zanzibar? Maldives? Mauritius? Marbella? Santorini?
Unamtumia kama nyenzo gani??
Km nyenzo HISISHI.......
tetramelyz we unawataka wa nini?