Hivi wadada kama hawa wapo dunia hii?

Hivi wadada kama hawa wapo dunia hii?

Mi mwenyewe nikijitia kope na foundation nakua hivyo shida tunatumia baby care hivyo tunakua wa kawaida tu
 
Wewe. Jana nilikua nazunguka na wife aisee niliona mtoto huyo hadi mama Akasema mh mwangalie tu mpenzi. ki dada kizuri.

Unajua nilitamani kukateka.

Lmfao.

I stumble upon the funniest comments.
 
Mnawishe uso kwa sabuni ya mkaa, mtoe clown cape hyo kchwan ka hujaona afadhari umwelani kusiniiiii
 
Jungle Fever...

Umetembea nchi ngapi dunia hii?

Ushafika Ibiza? San Huan? Acapulco Bay? San Tropez? Montego Bay? Copacabana? Waikiki Beach? The original Coco Beach? Monaco? Caracas? Bogota? Stockholm? Mayotte? Copenhagen?...
 
Mi mwenyewe nikijitia kope na foundation nakua hivyo shida tunatumia baby care hivyo tunakua wa kawaida tu

Kama kweli mi naku kea (care) adi uwe kama uyo, si ndio.!,,?
 
Back
Top Bottom