Hivi wadada kama hawa wapo dunia hii?

Hivi wadada kama hawa wapo dunia hii?

Jungle Fever...

Umetembea nchi ngapi dunia hii?

Ushafika Ibiza? San Huan? Acapulco Bay? San Tropez? Montego Bay? Copacabana? Waikiki Beach? The original Coco Beach? Monaco? Caracas? Bogota? Stockholm? Mayotte? Copenhagen?...

Unamaanisha nitembelee huko kwenye fukwe mbalimbali duniani sio?
 
uzuri ni tabia ya mtu.. hizo sura ni ziada tu kwanza na makeup zinawasaidia, ukimkuta asubuhi wakati mdio kaamka aisee unaweza ukamkataa.

Aaa, kila mtu anakuaga ni mbaya akiamka~...kuhusu tabia namtengenezea mazingira na anakua BEBY mtulivu kabisa...
 
Mbona wapo wengi tu mkuu,
Kwasababu hata Sttiii Mtemvuu alifanana na huyo alipoivaa hiyo crown
 
Back
Top Bottom