luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,789
![]()
Wanapatikana wapi,??
mkuu nijibu vizuri, vip wew una hela ya kuweza kumfanya aendelee kuwa ivo? Kama hauna basi acha tamaa wenye nazo wale kilichoiva. Ukoo wetu wapo zaid ya huyo kama uko vizuri na ming'ombe yenye pembe ndefu jiandae.
Nakutakia tamaa njema.