Isenye
JF-Expert Member
- Dec 22, 2024
- 486
- 2,069
Kuna chama kimoja cha ushirika mkoani mbeya nilifanya nao interview ya nafasi ya uhasibu.sasa katika interview waliniuliza mshahara ambao ningependa kulipwa,mimi nikawaambia uwe kati ya 1.7m-2.2m.
Jana wamenipigia kuniambia kuwa nimepata ile nafasi na natakiwa kuanza kazi mara moja,nikamwambia huyo mwenyekiti wa bodi aliyenipigia nitaanzaje kazi wakti sijaona terms za mkataba na mshahara mnaotaka kunipa,eti yeye akasema mshahara ni mzuri tu nisiwe na wasiwasi,hii imenitia wasiwasi kidogo.
So naomba kuwauliza wajuvi hawa watu wa vyama vya ushirika huwa wanalipa mshahara kiasi gani kwa watu wenye bachelor degree?