b191
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 742
- 1,031
Wewe ni Mwalimu wa Chekechekea .Vinakuja vitoto viwili cha Kike na Kiume huku vikibishana. Vinapofika kwako mambo yanakuwa hivi;
Kasichana: Eti mwalimu mtu akifanya mapenzi katika umri wetu anaweza kupata mimba?
Mwalimu: Hawezi kupata mimba (Tena unatoa jibu kwa hofu kweli)
Kavulana: (Huku akikaangalia katoto ka kike) Si nilikuambia hujapata mimba halafu wewe unabisha.
Kama wewe ni mwalimu utavifanya nini vitoto hivi?