Hivi vitimbi vya mama kijacho huisha lini?

Hivi vitimbi vya mama kijacho huisha lini?

Kwema wakuu..
Kununa, kususa, hasira na mengine ya kufanana na hayo ni hadi kujifungua?

Kadri siku zinavyosogea ndio vinazidi kuongezeka.

Wenye uzoefu tupeane mbinu ili mambo yaende sawa. Kipi cha kufanya/kutokufanya.
Mimi wangu kwa kweli nilimfanyia vitimbi ambavyo mpaka sasa nikikumbuka najisikia vibaya.

Baada ya mtoto wa pili mwenyewe akasema basi hawa wametosha, tukafunga 🤣🤣 endelea kukaza mkuu!!
 
Mimi wangu kwa kweli nilimfanyia vitimbi ambavyo mpaka sasa nikikumbuka najisikia vibaya.

Baada ya mtoto wa pili mwenyewe akasema basi hawa wametosha, tukafunga 🤣🤣 endelea kukaza mkuu!!
Ulimfanyia nini mwenye nahisi nitatosheka na wawili
 
Utulivu, nnikamwambia waited ndg zako uwatume hela ntatuma au ntaacha ........ Alikuwa mpole tuu changamoto za kawaida zip sio ety nimevaa koti jeusi analia nilimtandika kibao kumkumbusha hii ni danger coy hakuna mzaha
Nipo natafuta ndizi mzuzu 🤣
 
Back
Top Bottom