Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,431
- 170,663
Hongera ba kijacho
Mipango ya Sir God kamanda nasikiliziaOya master naona ushabutua unasikilizia.
Uhakika.
Nipeni mbinu hongera mtanipa baadae broHongera ba kijacho
Bro we tulia tu, tulia hadi akufukuze kuwa unanukaNipeni mbinu hongera mtanipa baadae bro
Safi, hongera kwa kufanikiwa kuwa baba mtarajiwa.Kwema mkuu sijui huko.
Msinifanyie hivyo hapa kaninunia tangu asubuhi sasa anataka nisifanye kazi.Naomba asiambiwe kitu huyu..
Kila mtu anauzoefu na mtuwe we mzoee mtu wako tu 🤣🤣🤣 enjoy tu kama ulivyokua unaenjoy
Asifikie huko maana sifukuzikiBro we tulia tu, tulia hadi akufukuze kuwa unanuka
Mbona nitanyooka. Kuna siku anakuwa normal kabisa mchangamfu ila siku nyingine ndio vitimbi siku nzima.Mpaka ajifungue. Na hizo kero unazopata wewe ni ndogo sana ukilinganisha na zile anazopitie yeye
Kama ni hela mbona nampa daily kwenye hilo nipo vizuriMpe sana hela we mpe tu usiulize ni za nini we mpe
Halafu uone kama ataendeleza attitude
NdioYa mwanzo?
😄😄😄hakuna mkate mgumu mbele ya chai.Kwanza kuna muda hatutakagi ata kuwaona yani
Akachagua kipi?nilimwambia achague arudi kwao au atulie usumbufu sihitaji
Na zinakuwaga tamu kweliBaba kijacho vumilia tu,,
Usicheze mbali sana vumilia huku unajilia ka mbunye kako maana huwa zinakuwaga tamu sana wakati wa mimba
Tamu sana na joto limeongezeka na anavyoipendaBaba kijacho vumilia tu,,
Usicheze mbali sana vumilia huku unajilia ka mbunye kako maana huwa zinakuwaga tamu sana wakati wa mimba