Hivi vitimbi vya mama kijacho huisha lini?

Hivi vitimbi vya mama kijacho huisha lini?

Aririririiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii 🔥🔥🔥

Jirani hongera, soon tunapokea ka barbie awwww 😍😍😍

Mvumilie mama K akishusha ataacha yote..!!
Siku ziende ashushe tu maana ni shida.
 
Hizi mood swings na emotional changes za wanawake wajawazito wanasema zina_root from hormonal changes during pregnancy.

Lakini Mimi Bado siamini hili Moja kwa Moja naona kama vile Kuna exaggeration na Makusudi Furani Huwa yanafanyika.

Kwanini nasema hivi,, Mwanamke huyo huyo akiwa kazini huoni akifanya dramas au hizo mood swings akimfanyia Boss wake, Atafanya kazi kama kawaida na atamu_handle boss wake na hata wafanyakazi wenzake as usual.

Lakini Sasa akirudi nyumbani Mume kazi anayo,,
Hawezi kufanya Chochote ,Kila kitu hakipendi ,, eti hataki hata kumuona Mumewe!!!.

Mbona Huwa Haiwi hivi kwa watu wengine wa njee?

Au Mood swings zinachagua wapi pa kuswing!!!??
 
Hizi mood swings na emotional changes za wanawake wajawazito wanasema zina_root from hormonal changes during pregnancy.

Lakini Mimi Bado siamini hili Moja kwa Moja naona kama vile Kuna exaggeration na Makusudi Furani Huwa yanafanyika.

Kwanini nasema hivi,, Mwanamke huyo huyo akiwa kazini huoni akifanya dramas au hizo mood swings akimfanyia Boss wake, Atafanya kazi kama kawaida na atamu_handle boss wake na hata wafanyakazi wenzake as usual.

Lakini Sasa akirudi nyumbani Mume kazi anayo,,
Hawezi kufanya Chochote ,Kila kitu hakipenda ,, eti hataki hata kumuona Mumewe!!!.

Mbona Huwa Haiwi hivi kwa watu wengine wa njee?

Au Mood swings zinachagua wapi pa kuswing!!!??
naomba Lamomy na wengineo mtujibu
 
Kwema wakuu..
Kununa, kususa, hasira na mengine ya kufanana na hayo ni hadi kujifungua?

Kadri siku zinavyosogea ndio vinazidi kuongezeka.

Wenye uzoefu tupeane mbinu ili mambo yaende sawa. Kipi cha kufanya/kutokufanya.
Hizo ndiyo tabia zake halisi kama ulikuwa huzijui

Wewe kaza akinuna achana naye akisusa achana naye usijali wala kubembeleza

Kama utabembeleza ni kidogo tu akishindwa kurespond mwache anune mpka atapike 😂😂😂
 
Back
Top Bottom