Hivi uyu jamaa ana undugu na diamond??

Hivi uyu jamaa ana undugu na diamond??

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,589
Reaction score
28,755
eti wadau uyu jamaa ni kaka yake diamond tumbo moja??
diamond.jpg
 
asigwa acha utani bwana...unauliza swali wakati jibu unalo....huyo jamaa mbona kafanana sana na wewe hasa mdomoni na hy kofia ndiyo niliyokuona nayo siku ya pasaka...kwani ww diamond ni ndugu yako?
loading.....................
 
mh! kweli hili jukwaa la utani, ndo yamekuwa hyo?
 
hata hafananii na daidomo, wa huyo jamaa domo limezidi kumwagika sana loh!
 
Duh!!!!! Umenikumbusha siku tulukuwa twapiga story za diamond jamaa mmoja akasema mdomo wk kama .... Iliyofanyiwa opereshen ya festula,,,, mi nilisikitika sana kabla ya kuguna,,,,,ugonjwa hatar
 
Back
Top Bottom