Je Ungependa Diamond na Davido warudi tena studio?

Jemat

Member
Joined
Nov 9, 2026
Posts
51
Reaction score
137
Wanabodi. Ni Miaka 12 tangu Dabido na Diamond walipoungana kwenye wimbo maarufu wa Number One Remix.

Sasa Diamond Platnumz na Davido wamekutana tena jijini Dar! 👀.

Davido amewasili Tanzania akiwa na posi yake Chioma, huku Diamond na Zuchu wakiwapokea kwa mapokezi ya kishua.

Lakini kinachozua gumzo zaidi ni uwezekano wa wawili hao kuja na kazi nyingine kubwa ya pamoja! 🎶🔥

Sisi Mashabiki tayari tuna hamu ya kuona historia ikiandikwa upya tena.
 
Wamshirikishe

Wemaa
 
POSI NI NINI WAKUU?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom