Hivi unaweza ukaoa mwanamke hajui kupika?

Hivi unaweza ukaoa mwanamke hajui kupika?

Salam,

Mwanamke amekamilika kila idara, Kitandani yupo safi tu ila hajui kupika. Je, wanaume unaweza ukaoa mwanamke wa aina hiyo?
Still stuck in the past!!!! Those men thinking that a woman is a sex object, a servant of man and the like! Hapo ndipo unapoona kuwa waafrika bado sana! Still we ned mind liberation! Nasty! still stuck in the wrotten past1
 
Wanawake na binadamu kwa ujumla ni adaptive kutokana na mazingira pia ni rahisi kujifunza hivyo akijifunza ataweza.
Kumbuka hapa unazungumzia mwanamke ambaye ana takribani miaka 25 - 30, hajui kupika kwa muda wa miaka 15 - 20, unategemea atajifunza ndani ya miaka miwili mitatu mtakayoishi nae kwa amani?
 
Back
Top Bottom