Hivi unajisikiaje kulala ukiwa uchi

Hivi unajisikiaje kulala ukiwa uchi

Katika kitu ambacho nimeshinda kabisa ni Kulala nikiwa bila nguo kabisa yani bila kaboksa au pensi fulani la kwenda sitoboi.

Wenzetu mnaweza vipi? na umeshawai kufikiria kama Ikitokea dharura una save vipi
Kwani mkuu hujaoa

Waliooa kulala bila boksa ni torati
 
Katika kitu ambacho nimeshinda kabisa ni Kulala nikiwa bila nguo kabisa yani bila kaboksa au pensi fulani la kwenda sitoboi.

Wenzetu mnaweza vipi? na umeshawai kufikiria kama Ikitokea dharura una save vipi
Lipe nafasi pumbu lipue bro
 
Tumetawaliwa na negative mind, kama ukiwa positive huwezi kuogopa hata yanayoweza kutokea after 1minutes, practice the present, remove the past and the future in the NOW.
 
Katika kitu ambacho nimeshinda kabisa ni Kulala nikiwa bila nguo kabisa yani bila kaboksa au pensi fulani la kwenda sitoboi.

Wenzetu mnaweza vipi? na umeshawai kufikiria kama Ikitokea dharura una save vipi
Kwa hiyo ww unawaza kila saa mtu anaku-tigo au hebu fafanua
 
Wataalam wanapendekeza kuwa kiafya kulala uchi ni bora sana kuliko kulala umevaa nguo.
 
m nikwazaga wezi wanivamie wakute k. ta la mkewanguu linavyongaa awamuachii
Sitakikabisa kurudi huko
 
Back
Top Bottom