Papillon 1906
Senior Member
- Jun 19, 2025
- 117
- 387
Katika kitu ambacho nimeshinda kabisa ni Kulala nikiwa bila nguo kabisa yani bila kaboksa au pensi fulani la kwenda sitoboi.
Wenzetu mnaweza vipi? na umeshawai kufikiria kama Ikitokea dharura una save vipi
Wenzetu mnaweza vipi? na umeshawai kufikiria kama Ikitokea dharura una save vipi