donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Huyo mama mkwe naye atakuwa hamnazo,
Kama anajua wanaume na wanawake kwanini yeye
asiwe na gari yake.
Watu kama hao hawafai kabisa katika jamii;
na kwa maneno yake anamshawishi binti yake
akuone kuwa you are not a man.
nilikuwa nakunywa chai nimecheka chai yote imemwagika nimechafua meza eti mwanaume huyo kapita loo huyo mama mkwe atakuwa bibi Hindu

Au utajisikiaje
Pale ambapo upo na mama mkwe na mkeo ndani ya gari lako aina ya Vitz mara linapita Range Rover, mama mkwe anasema "mwanaume huyo kapita"
Huyo mama mkwe naye atakuwa hamnazo,
Kama anajua wanaume na wanawake kwanini yeye
asiwe na gari yake.
Watu kama hao hawafai kabisa katika jamii;
na kwa maneno yake anamshawishi binti yake
akuone kuwa you are not a man.
That means anakuona wewe ni Yahaya kama Bishanga siyo eeh?
Unamfata baba yako fasta na unampa vipande hivi;
Afu kwa baba/mama mkwe hukanyagi tena!
nilikuwa nakunywa chai nimecheka chai yote imemwagika nimechafua meza eti mwanaume huyo kapita loo huyo mama mkwe atakuwa bibi Hindu
Weeh unadhani minna kitambi cha biya na sony wega najiskiaje?
Zipo hizo. Haina tofauti na wewe mwanaume ukiona mwanamke mrembo unapogeuza shingo kumsindikiza na macho. Weeh unadhani minna kitambi cha biya na sony wega najiskiaje?