Hivi umeshawahi kutoswa wewe?

Unawaita wanawake wenzio me mfanye nini uzi wa wanaume huu... jileteni mtongozwee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]. Hivi kwanini lakini umewaza hivi??
 
Unawaita wanawake wenzio me mfanye nini uzi wa wanaume huu... jileteni mtongozwee
Nini wew achakunizugaa huyo mnae peana maneno ya chumbani nimwanamme???[emoji57]
 
Kuku ni wewe ngoja wenye Mali zao wanakuja tulia hivyo hivyo km unanyolewa nikawaiteee[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Usifike uendako angukia njiani
Nini wew achakunizugaa huyo mnae peana maneno ya chumbani nimwanamme???[emoji57]
 
Huyu mtoto msumbufu saana. Na dawa yake ipo jikoni inatokota
[emoji12] [emoji12] [emoji12] chakunifanya huna babuu ndugu ndugu tu......hata awe bashite
 
Kuku ni wewe ngoja wenye Mali zao wanakuja tulia hivyo hivyo km unanyolewa nikawaiteee[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kumbe Daby mali yetu. Sie kwetu hatukatazwi kushare ila hakikisha unakua the biggest share holder. Wanaume kwanza wachache mwache bby awasaudie wengine.
 
Kumbe Daby mali yetu. Sie kwetu hatukatazwi kushare ila hakikisha unakua the biggest share holder. Wanaume kwanza wachache mwache bby awasaudie wengine.
Teh teh teh........mbn umeishiwa poziii.......[emoji23] [emoji125] ngoja nikae kmy maana huyu babu yng huyu namjua hakawii kunipa laana.....
 
Niambie Hiyo Style mkuu niitumie
 

mi wangu alibebwa mbele yangu tena na ma best wangu,kazama ndani ya escudo/vitara nikabaki natoa macho tu,nililia kwa vibration aisee,japokuwa tulikutana baada ya miaka kumi na zaidi nikabandua na nikasepa vile vile
 
Si vizuri kumijibu mtu vibaya,,,,, lkn kunawatu ving'ang'anizi haelewi hata uongee kifaransa sasa mtu km huyo unafikiri utamfanyajee......yes mm nilishawahi kumtusi mtu.....
umemuachia kumbukumbu
mbaya sana...
 

Hahaha
unamfikisha mpaka
kwa mkazi kisutu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…