Hebu weka list watu wajionee maajabu.Wema Sepetu ndio mfano mzuri wa mtu Malaya
Mkuu ww hujui maana ya malaya lkn unasema ww sio malaya... tafuta maana yke then ndo ujiridhishe kama sio au la ...Sijui hata maana me sio Malaya najitambua ila. Ñàjaza treni mbili nikihesabu
bdo ni malaya suala ni idadi unapokuwa na mwenza zaidi ya mmoja huo ni umalayaAisee hapa umeonyesha ni yule mwanamke ambae hawezi kukataa. Na mwanaume ambae hachagui yeye ilimradi kaona mwanamke..! Vp mwenye uwezo kukataa na kuchagua,mfano ametongozwa na wanaume 20 kwa mwezi,akawakataa 16,lkn wanne akawapa na mwanaume anayechagua kwa mwezi awafunue wanne vp hao siyo malaya??
Kwa wanaume wabongo mwanamke atakayemkataa au kumwacha bila kutegemea anaitwa hivyoWanajamvi,
Habari za jumanne.?
Pamoja na umri wangu kuwa umesonga,lkn kiukweli sijawahi kuthibitishiwa popote kuhusu hili suala,pengine labda kutokana na mazingira niliyokulia.
Naamini hapa naweza kupata ufumbuzi au ufafanuzi wa kina. Hivi mtu awe mwanaume au mwanamke ni idadi gani ya watu aliotoka nao inayothibitisha kwamba huyu amefikia level ya kuitwa malaya??
Au umalaya siyo idadi ya watu anaotoka nao mtu ki-mapenzi,labda ni kauli zake,mavazi yake nk.ktk jamii ndo vinamfanya aonekane malaya??
Wapo wanaume na wanawake ambao me nawafahamu wana idadi kubwa ya wapenzi na bado wanaongeza lkn hawaitwi malaya bali wao ndo wananyooshea vidole wengine.
Hebu tubadilishane mawazo hili jina ili uitwe inabidi uwe ktk hali gani?? Umalaya hasa ni nini??
Nawasilisha.
Je? Sehemu za makalio pia uhusika?Malaya ni yule ambae hachagui wala kuangalia kwenye maswala ya mapenzi... yoyote halali yake..
Kwenye aya ya pili unatoa ishara ya kumalizia(MWISHO) kumbe kuna aya mbili zinafuata😀😀, inabidi tupeane darasa la kuandika insha.Sifa chache na kuu za mtu malaya
1. Anapenda ngono kila mara na yeye hachagui ni nani afanye nae nani asifanye nae..
2. Lugha/ matamshi.. ukikutana na mwanamke malaya hata jinsi wanavyo ongea unaweza ziba masikio.. hawana soni hawa popote yoyote atakuropokea tusi au kukudhalirisha wazi wazi bila kujali upo wapi?upo na nani...
3. Siamini sana kwenye mavazi Ila, kuna kipindi unaweza kutana na mwanamke mchana kweupe alivyo vaa mpaka una jiuliza huyu ndio ana aamkaaaa au ndio ana jiandaa kulala... wana zurura na night dress hawa mtaani , they don't care... aibu kwao ni 'F'. Hii inanifanya niamini watu was namna hii malaya tu.
Mwisho: malaya ni mtu anae penda sanaaaa ngono kupita kiasi na huifanya mara kwa mara na kwa yotote yule bila kujali chochote kile apewe hela asipewe yeye atafanya tu...
Kuna tofauti kati ya malaya na kahaba...
Kahaba hufanya ngono kama biashara , bila kukubaliana nae malipo utakula kwa macho tu ZIGO hilo... na wako serious ni kazi yao na wana jali muda kama unavyo jali muda wako wewe wa kwenda kazini... ndio wale insta utaona leo ame chukua pipa ana kwenda zake dubai,kesho nigeria kesho kutwa south mtondo USA ukija kushituka yupo bongo... they are export pussy with very high prices...
Malaya sasa, yeye hana muda na hela uupe sawa usi mpe potelea mbali... maadam kaisha fanya karidhika.. tuta kutana kesho endapo jaaliwa na atafanya tena... na hawana msimamo wepesi sana kuwachezea akili zao.. wana danganyika na vitu vyaki puuzi sana either; bia,soda,chakula,vocha,sms za mahaba, kupigiwa simu nika mara ndio ana dhani ame thaminiwa... generally wana pagawa na vitu vyaki puuzi puuzi...