rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,106
- 18,715
Toa maoni bhaana kwa kile unachojua. Majibu naona kila mtu anayo ya kwake..
Malaya ni mtu yoyote... mimi wewe na yulee
Nlisubiri difinishen yako kwa hamuuuu...
Toa maoni bhaana kwa kile unachojua. Majibu naona kila mtu anayo ya kwake..
Nlisubiri difinishen yako kwa hamuuuu...
Ha haaaa.....Malaya ni mtu yoyote... mimi wewe na yulee
Ha haaaa.....
You're not serious kabisaa
Malaya ulaya kwa kina Riyana huku kwetu Africa ni biashara
Pointing some body ndio maana yake ...ha ha haa hutaki kuamini kama nawewe nimmoja wapo?
Pointing some body ndio maana yake ...
Haya. Nmeelewa kumbe.
Mwanamke anayegawa hovyo papuchi,anayelipwa ni chagudoa.Hakuna mwanaume malaya bali ni muhuniWanajamvi,
Habari za jumanne.?
Pamoja na umri wangu kuwa umesonga,lkn kiukweli sijawahi kuthibitishiwa popote kuhusu hili suala,pengine labda kutokana na mazingira niliyokulia.
Naamini hapa naweza kupata ufumbuzi au ufafanuzi wa kina. Hivi mtu awe mwanaume au mwanamke ni idadi gani ya watu aliotoka nao inayothibitisha kwamba huyu amefikia level ya kuitwa malaya??
Au umalaya siyo idadi ya watu anaotoka nao mtu ki-mapenzi,labda ni kauli zake,mavazi yake nk.ktk jamii ndo vinamfanya aonekane malaya??
Wapo wanaume na wanawake ambao me nawafahamu wana idadi kubwa ya wapenzi na bado wanaongeza lkn hawaitwi malaya bali wao ndo wananyooshea vidole wengine.
Hebu tubadilishane mawazo hili jina ili uitwe inabidi uwe ktk hali gani?? Umalaya hasa ni nini??
Nawasilisha.
Ha ha ha ha na Masogange alikua anauzia De FranceMfano mzuri ni Sepetunga