Hivi ukitaka umtukane mtu "pumbavu" kwa upole na asikasirike unamwambiaje?

Hivi ukitaka umtukane mtu "pumbavu" kwa upole na asikasirike unamwambiaje?

Tafuta bongo movies za zamani za Vincent Kigosi (Ray), ametukana sana iyo pumbafu kwa upole kama unavyotaka
 
Wakuu ni dharula, naomba msaada tafadhali

Nipo site, nisaidieni, naweza kumwambia mtu pumbavu na asikasirike na ajiskie vizuri?
Unamwambia ....👉dini ya kweli kwa Mwenyezi Mungu ni uislamu . Hspo utaona mpumbavu meno yote yapo nje
 
Wakuu ni dharula, naomba msaada tafadhali

Nipo site, nisaidieni, naweza kumwambia mtu pumbavu na asikasirike na ajiskie vizuri?
Acha upuuzi

Maana mpumbavu ni anajua ila anapuuza au anapumbazwa na vitu fulani labda uchawa, unafiki nk. Kwahiyo anakuwa mpuuzi au mpumbavu
 
Unamwambia ....👉dini ya kweli kwa Mwenyezi Mungu ni uislamu . Hspo utaona mpumbavu meno yote yapo nje
Wewe Binti toka uachike kwa tabia yako ya kuchepuka na mabodaboda kwa yule mumeo mwislamu,basi ukaamua hasira zako kuzihamishia kwenye uislamu,

Hiyo haiwezi kuibadili hali yako,ungejituliza tu,huenda utaposwa na mwingine na kuolewa tena.
 
wewe jamaa uislam umekukosea nini? Ipo siku yaja utakuja kujutia hizi dhihaka zako
Huyo Binti alibadili dini akaolewa na muislamu,kwa tabia zake chafu akaja kuachika,
Ndio maana unaona ana hasira na uislamu badala ya kumkasirikia aliyekua mumewe.
 
Back
Top Bottom