Wakuu nchi yetu ni ya kijamaa, hivi hii ideology bado ni relevant(kama imewahi kuwa)?
Je tuliingia chaka kufuata siasa za ujamaa?
Ni kweli umebadilika sana lakini bado unaathiri maisha yetu ya kila siku, Mfano huwezi kuwa na sheria ya uzembe naa uzururaji bila ujamaa. Pia huwezi weka vikwazo vingi kwa raiaa wako kupata passport bila ujamaa. Unafikiri nchi inayofuata ujamaa 'asili' inaweza fanikiwa?
Unsfuatwa kwa sababu tayari watu walinyimwa elimu halisi juu yao na hao waliowanyima wanaabudiwa.Hahahaa, eti kupigiana watoto, Kama mbaya hivyo kwanini tunaufuata? labda unamazuri yake.
Ingependeza kidogo kama ungetueleza wewe unavyoufahamu 'ujamaa'.Wakuu nchi yetu ni ya kijamaa, hivi hii ideology bado ni relevant(kama imewahi kuwa)?
Je tuliingia chaka kufuata siasa za ujamaa?
Hapana.Mkuu nchi yetu inafuata siasa za ujama.
Nchi za scandinavia zinafuata social decmoccracy. Huu wengi wanabisha siyo kama ujamaa wa Cuba au N.Korea. Huu unafanana zaidi na ubepari maana sehemu kubwa ya uchumi ipo kwa watu binafsi. China kila siku wanafanya reforms, bado hawajatoka moja kwa moja kwenye ujamaa bado wanamakampuni makubwa ya serikali yanayojiendesha kizembe na kwa kulindwa na pia bado suala la property rights hawajaliweka sawa. Wataalamu wanasema ili iendelee kuendelea inahitaji mabadiliko mengi zaidi kutoka ujamma, hivyohivyo kwa Vietnam. Kwasasa ujamaa na ubepari ni spectrums , viko tofautitofauti sehemu na sehemu ila kujinadi tu kuwa mimi mjamaa au mbepari kuna athari kubwa.Hapana.
Labda tuseme, serikali ya CCM inajitangaza hivyo, lakini kiuhalisi sivyo.
Unajua, China nako wanacho chama chao cha Kikomunisti kinatawala, lakini maisha mitaani siku hizi huwezi kutambua kwamba nchi hiyo bado inasimamia mfumo wa kikomunisti.
Labda pia nikupeleke upande wa pili. Wakuu kabisa wa mfumo wa 'ubepari' Marekani, hata huko utakuta kwamba kuna mambo yanayofanywa tofauti na matakwa ya mfumo huo.
Hivi nchi za 'Scandinavian' Sweden na wenzao, wao mfumo wao hasa uliowaletea mafanikio ni mfumo upi, Ujamaa au Ubepari?
Maana yangu hapa ni kwamba, dunia sasa imekwishaondoka huko kwenye huo mgawanyiko uliokuwa unapiganiwa na pande hizo mbili,
Hard nosed Capitalism and Socialism regimes have never worked in society anywhere in the world! (kalamu1)... maana sijaliliokota kokote. Ni wazo langu halisi.
Lililo la mhimu katika yote hayo kwa baadhi yetu mkuu 'Red Giant' ni hili: maslahi ya wananchi wa kawaida.Nchi za scandinavia zinafuata social decmoccracy. Huu wengi wanabisha siyo kama ujamaa wa Cuba au N.Korea. Huu unafanana zaidi na ubepari maana sehemu kubwa ya uchumi ipo kwa watu binafsi. China kila siku wanafanya reforms, bado hawajatoka moja kwa moja kwenye ujamaa bado wanamakampuni makubwa ya serikali yanayojiendesha kizembe na kwa kulindwa na pia bado suala la property rights hawajaliweka sawa. Wataalamu wanasema ili iendelee kuendelea inahitaji mabadiliko mengi zaidi kutoka ujamma, hivyohivyo kwa Vietnam. Kwasasa ujamaa na ubepari ni spectrums , viko tofautitofauti sehemu na sehemu ila kujinadi tu kuwa mimi mjamaa au mbepari kuna athari kubwa.
Rais wangu WA majukwaani saizi ni muda wa kitembea na Pacha lako ili kupunguza stress za watu Tutahakikisha tunamjazia strategies za kuboresha maisha ya watanzania...Wakuu nchi yetu ni ya kijamaa, hivi hii ideology bado ni relevant(kama imewahi kuwa)?
Je, tuliingia chaka kufuata siasa za ujamaa?
Ukiangalia utagundua ujamaa ulikuwepo toka mwanzo kuumbwa kwa dunia,tunatakiwa tuishi kwa kufanya kazi bila kumiliki,tukusanyre na kutumia kwa pamoja bila kuhodhi,yaani tuishi kama wanyama wa porini kina simba,na nyani,kama ndege na samaki.Ila kwa asili binadamu ni mchoyo,wengi wanafurahia na kuona sofa wanapokuwanacho ili hali wengine hawanacho,hebu fikiria wakati majirani hawana hata kikombe cha uji mmoja ana magunia elfu ghalani,wakati wengi hawana thumuni mwingine mwenye umri w miaka sabini anaiba matrilioni ya fedha za umma.mule China na urusi ya Leo ndio kina matajiri mabepari wakutupwa. Binadamu alianza maisha stahili wakusanyaji wakaenda stahili ya kumliki MTU mwingine kama Mali ,akaena stahili kumiki ardhi,akaenda stahili ya kumiliki rasilimali na kutoa ajira kwa watu wengine,ilitegemewa mifumo hii ya kinyojnyaji ingejifia na kuibuka mfumo was ujamaa ,bahati mbaya ujamaa na ukomunisti imekufa kifo cha mende.UJAMAA Kwisha..
Rais wa China Deng Xioping aliwahi sema ''Tuache wachache wawe matajiri kwanza". Leo China na Urusi zenye matajiri wa kutupwa zina maisha bora kuliko zilizokuwa zinafosi kuwa watu wote ni sawa. Cuba iliyong;ang;ania ujamaa leo watu wanalipwa cigars badala ya mishahara.Ukiangalia utagundua ujamaa ulikuwepo toka mwanzo kuumbwa kwa dunia,tunatakiwa tuishi kwa kufanya kazi bila kumiliki,tukusanyre na kutumia kwa pamoja bila kuhodhi,yaani tuishi kama wanyama wa porini kina simba,na nyani,kama ndege na samaki.Ila kwa asili binadamu ni mchoyo,wengi wanafurahia na kuona sofa wanapokuwanacho ili hali wengine hawanacho,hebu fikiria wakati majirani hawana hata kikombe cha uji mmoja ana magunia elfu ghalani,wakati wengi hawana thumuni mwingine mwenye umri w miaka sabini anaiba matrilioni ya fedha za umma.mule China na urusi ya Leo ndio kina matajiri mabepari wakutupwa. Binadamu alianza maisha stahili wakusanyaji wakaenda stahili ya kumliki MTU mwingine kama Mali ,akaena stahili kumiki ardhi,akaenda stahili ya kumiliki rasilimali na kutoa ajira kwa watu wengine,ilitegemewa mifumo hii ya kinyojnyaji ingejifia na kuibuka mfumo was ujamaa ,bahati mbaya ujamaa na ukomunisti imekufa kifo cha mende.UJAMAA Kwisha..
Mkuu usichanganye welfare states na ujamaa.Hakuna nchi ni wabepari 100% au wajamaa 100%
asilimia 50% ya nchi za ulaya ni social democracy (The same na Tanzania)
Mfano Israel ni socialist country
Mleta mada unatakiwa ujue kuna aina 3 za Capitalism
1. Free economy
2. Socail Capitalism (Huduma za afya kusimimamiwa na Serikali, mfano ni Tanzania na Sera za Democrats wa Marekani)
3. Government Capitalism (Serikali kufanya biashara mfano Serikali ya China)
So ukielewa hizi tofauti utaona relevancy ya socialism na kwa nini Marekani haijawahi kuiletea fyoko fyoki nchi ya Saudi Arabia
Ujamaa ni nini?Mkuu usichanganye welfare states na ujamaa.
Ujamaa ni watu walioelewa maana na kushangaa Jews au mpira mmoja ni kama EWURA, TRA, BOT, TARURA n.k by the way ndio ulioshinda AfricaUjamaa ni nini?