paschal Burra
JF-Expert Member
- Jul 1, 2021
- 374
- 332
Kwani aliyebarikiwa na shetani ni nani?Lissu amebarikiwa na Mungu
Kwani aliyebarikiwa na shetani ni nani?Lissu amebarikiwa na Mungu
Kwani aliyebarikiwa na shetani ni nani?
Mbona wewe shuleni umesoma na bado ukafeli?Kwaiyo mtu kujua historia ya nchi yake ndo anashangaza uyo et?
Vijana wa sasa sisi ni wavivu wa kusoma na kufatilia mambo ndo mana akitokea mtu kama lissu tunamuona genius akati alichonacho kinapatikana kwenye maandishi ambayo yeye mwenyewe huyasoma ili apate kuelewa mambo kiundani.
Amna chochote kinachoshangaza hapo
Uandaliwe mdahalo Lisu vs Hangaya. Utaona vituko duniani. Hangaya ni Rais hewa, mambo mengi hayajui, mfano;
1. Alidanganywa na kina Siro kuwa Adamoo na wenzake wameshahukumiwa kumbe wamefichwa Mbweni mwaka mzima.
2. Anazindua chanjo ya J&J ila alikuwa hajui kuwa hiyo ni dozi moja tu hadi alipofundishwa mbele za hadhara. Alijua ni dozi mbili. Kaja kuzindua kitu asichokijua kabisaaaaa.
Yajayo yanahuzunisha.
Unaandika kwaiyo na amna halafu unajipa mamlaka ya kubeza uelewa wa mwingine. Unajua irony?Kwaiyo mtu kujua historia ya nchi yake ndo anashangaza uyo et?
Vijana wa sasa sisi ni wavivu wa kusoma na kufatilia mambo ndo mana akitokea mtu kama lissu tunamuona genius akati alichonacho kinapatikana kwenye maandishi ambayo yeye mwenyewe huyasoma ili apate kuelewa mambo kiundani.
Amna chochote kinachoshangaza hapo
Rahisi kusema kuliko kutendaHebu na wewe nenda kasome halafu utoe hiyo historia.
Mtazomo finyu Sana nyie ndio elimu yenu inaishia kwenye matumbo, haisaidii jamii.Unashangaa kitu gani wakati mtu mwenyewe muongo na hodari wa uzushi. Yeye speciality yake ni kupinga na inamlipa sana. Kuna mabeberu wanahitaji huduma ya watu kama lissu. Wanalipa vizuri.
Msando huyu huyu mwanasheria wa Giggy Money au Msando Mwingine ?Mwanasheria wa level ya Lisu ni lazima aijue historia yote ya nchi hata Msando wa Morogoro anajua!
Mgogoro wa Uganda na Tanzania ulianza toka meaka 72 ila Vita kamili ilianza mwaka 78Jana ndo nimejua kumbe baba yake Hanspope yule RPC wa Kagera alikamatwa na Majeshi ya Uganda akiwa ndani ya ardhi ya Uganda mwaka 1972 akauawa, alikuwa akishiriki operesheni ovu ya waasi wa Uganda, wafuasi wa Obote wakitokea Tanzania waliojaribu kumpindua na kumuondoa Iddi Amin.
Jana ndo nimejifunza wazi kuwa, ni kweli Amini alituvamia mwaka 1978, lakini na sisi tulishamchokoza sana kuanzia mwaka 1972
Mwanasheria wa level ya Lisu ni lazima aijue historia yote ya nchi hata Msando wa Morogoro anajua!
Mbona unaonekana kama una maumivu? Onyesha nawe uwezo wako sio kuita wengine "binti chizi ".Yaani watoto wa sasa bhana, yote aliyoongea yeye Na yule binti chizi mjukuu wa Karume yameandikwa, uvivu wako wa kusoma ndo unakufanya ushangae anachoongea yule Mkimbizi alieko Belgium
Watanzania tumenyimwa Elimu ya maarifa na CCM kwa makusudi, ili tusiwe wasomi na waelewa wa mambo kama Lissu ..Jana nilipotea njia nikajikuta nimengia chumba kimoja cha Club house.
Nikasikia sauti ya Lisu, nikasema acha nitulie kidogo nisikie kinachosemwa.
Mjadala ulihusu legacy ya JK. Nyerere, kusema kweli niliyosakia kule sijawahi kuyasikia wala kuyasoma mahali popote. Huyu TL anajua kila kitu, hakuna swali linalomshinda kujibu. Anaeleza historia ya nchi mpaka unabaki mdomo wazi.
Hapana huyu mtu amenishangaza sana.
Kwa uvivu wenu wa kusoma historia ndio maana mnamuona Lisu ana akili kuwazidi wote huko chademayule ni genius ndio maana marehemu alitaka kumuua baada ya kushikwa pabaya
Haa haa just haa haa Chifu Mwakatozo hakosei na Majaliwa kiongo ongo 😂Wa level ya Hangaya au Majaliwa je? Au wao wamejaliwa maono tu?
Kusoma na kujifunza maarifa mbali mbali inakua crystal intelligence na inaongeza IQ ya mtu sababu ukiwa na uelewa wa mambo mengi kwa kusoma ina maana unatengeneza uwezo mkubwa wa kufikiri kutokana na maarifa uliyojaza.Kwaiyo mtu kujua historia ya nchi yake ndo anashangaza uyo et?
Vijana wa sasa sisi ni wavivu wa kusoma na kufatilia mambo ndo mana akitokea mtu kama lissu tunamuona genius akati alichonacho kinapatikana kwenye maandishi ambayo yeye mwenyewe huyasoma ili apate kuelewa mambo kiundani.
Amna chochote kinachoshangaza hapo
He is very smart! "Tatizo" la Lisu anasoma sana na he is capable of deep thinking and making sense out of nonsenses! Ana kipaji kikubwa cha kuchanganua mambo in a real world!Jana nilipotea njia nikajikuta nimengia chumba kimoja cha Club house.