Hivi Tundu Lissu anajifanya anajua au anajua kweli?

Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
16,565
2,000
Jana nilipotea njia nikajikuta nimengia chumba kimoja cha Club house.

Nikasikia sauti ya Lisu, nikasema acha nitulie kidogo nisikie kinachosemwa.
Mjadala ulihusu legacy ya JK. Nyerere, kusema kweli niliyosakia kule sijawahi kuyasikia wala kuyasoma mahali popote. Huyu TL anajua kila kitu, hakuna swali linalomshinda kujibu. Anaeleza historia ya nchi mpaka unabaki mdomo wazi.

Hapana huyu mtu amenishangaza sana.
Atawazuga wajinga TL ni lofa tu. Wacha mashoga wamzalishe.
 
tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,575
2,000
He is very smart! Ttizo la Lisu anasoma sana na he is capable of a deep thinking and making sense out of nonsenses! Ana kipaji kikubwa cha kuchanganua mambo in a real world!
Pale Univesity of Warwick aliposoma Masters, Prof wake alisema: "wamepita wanafunzi wengi mikononi mwangu" sijawahi kumwona kijana kama huyu"!
Wakati huyo prof anasema hayo maneno wewe ulikua umejibanza wapi mpaka ukayasikia mkuu?
 
Trillion

JF-Expert Member
Apr 24, 2018
2,991
2,000
Lisu ana akili sana kwa wanachadema
Na hawa wana akili sana na hawakosei kwa MaCCM nyie.. Bladifekeni..Nyerere day ๐Ÿ˜€๐Ÿ‘‡๐Ÿพ

08EAF680-C46D-4474-89A0-40F4C60BF711.jpeg

1921AB02-BF3B-4B96-877D-82364DB26A57.jpeg
 
Iboya2021

JF-Expert Member
Dec 1, 2020
1,628
2,000
LISSU HANA CHOCHOTE KICHWANI KWA SABABU ANACHOKISEMA AMEKISOMA KWENYE VITABU HAKUNA ALICHOVUMBUA YEYE KAMA YEYE KUJUA HISTORIA NDIYO KUMFANYE MTU KUONEKANA MUELEWA WA MAMBO? CHA MSINGI NI KUWA UNATAKIWA WEWE ULIYEMSIKILIZ NDIYO UJISHANGAE KUWA KUMBE WEWE NI MJINGA HUJUI HATA HISTORIA YA TANZANIA MBONA HAYO YANAFUNDISHA SHULENI? MBONA HUJAWASHANGAA WALIMU WANAOFUNGISHA?
 
Trillion

JF-Expert Member
Apr 24, 2018
2,991
2,000
Wakati huyo prof anasema hayo maneno wewe ulikua umejibanza wapi mpaka ukayasikia mkuu?
Akili yako haina akili..kashangirie Nyerere day na mauwa yake kupelekwa Chato kwenye Kaburi la Magufuli.
mambo ya Shule ya Lissu ni makubwa kwako achana nayo.
Kikwete pia aliwahi sema Lissu ni msomi alielimika sana.
 
ngongoti2000

JF-Expert Member
Nov 20, 2017
2,158
2,000
Kwaiyo mtu kujua historia ya nchi yake ndo anashangaza uyo et?

Vijana wa sasa sisi ni wavivu wa kusoma na kufatilia mambo ndo mana akitokea mtu kama lissu tunamuona genius akati alichonacho kinapatikana kwenye maandishi ambayo yeye mwenyewe huyasoma ili apate kuelewa mambo kiundani.

Amna chochote kinachoshangaza hapo
ni kweli tupu 100% hata baba wa Taifa alikuwa anatushindia hapo ndiyo maana alikuwa anaonekana Genious ...Knowledge is Power!
 
Trillion

JF-Expert Member
Apr 24, 2018
2,991
2,000
LISSU HANA CHOCHOTE KICHWANI KWA SABABU ANACHOKISEMA AMEKISOMA KWENYE VITABU HAKUNA ALICHOVUMBUA YEYE KAMA YEYE KUJUA HISTORIA NDIYO KUMFANYE MTU KUONEKANA MUELEWA WA MAMBO? CHA MSINGI NI KUWA UNATAKIWA WEWE ULIYEMSIKILIZ NDIYO UJISHANGAE KUWA KUMBE WEWE NI MJINGA HUJUI HATA HISTORIA YA TANZANIA MBONA HAYO YANAFUNDISHA SHULENI? MBONA HUJAWASHANGAA WALIMU WANAOFUNGISHA?
Vipi nyerere day au Hangaya na Majaliwa hawakuisoma kwenye vitabu, na ndio Chifu Mwakatozo hakosei๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ

1B06DFF5-D596-4471-BA6B-7D922A8C95BF.jpeg

4FF3E688-1682-490C-9709-05D2446DE733.jpeg
 
Trillion

JF-Expert Member
Apr 24, 2018
2,991
2,000
Mtazomo finyu Sana nyie ndio elimu yenu inaishia kwenye matumbo, haisaidii jamii.

Wewee Lissu Ni akili kubwa, unajua kwamba alikuwa best student mwaka wao pale chuo kikuu Cha DSM?

Unajua kwamba sio siasa hizi .......???, angelikuwa Ni PROFESA washeria Sasa??

Unajulia kuwa alilisaidi Sana Bunge la katiba Hadi akatambukiwa na Mzee Sitta kwa mchango bora kabisa.

Unajua kuwa Mama Malinda alishawahi kusema Lissu ni Mbunge mahiri Sana kwa michango take?

Unajua kuwa huyu Lissu Ni Wakili nguli hapa nchini?

Hivi unajua kuwa alishawahi kuwaongoza WANASHERIA wote wa Tanganyika Kama.RAIS wao?

Unajua hayo?, Au niendelee?

Hembu tambue watu wenye AKILI kubwa acheni roho mbaya kwa kuendekeza Chama chenu!!!
MaCCM akili zao hazina akili achana nao.
 
The golden

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
1,240
2,000
LISSU HANA CHOCHOTE KICHWANI KWA SABABU ANACHOKISEMA AMEKISOMA KWENYE VITABU HAKUNA ALICHOVUMBUA YEYE KAMA YEYE KUJUA HISTORIA NDIYO KUMFANYE MTU KUONEKANA MUELEWA WA MAMBO? CHA MSINGI NI KUWA UNATAKIWA WEWE ULIYEMSIKILIZ NDIYO UJISHANGAE KUWA KUMBE WEWE NI MJINGA HUJUI HATA HISTORIA YA TANZANIA MBONA HAYO YANAFUNDISHA SHULENI? MBONA HUJAWASHANGAA WALIMU WANAOFUNGISHA?
Punguza chuki mkuu.
 
Kilembwe

JF-Expert Member
Aug 19, 2009
1,632
2,000
Kwaiyo mtu kujua historia ya nchi yake ndo anashangaza uyo et?

Vijana wa sasa sisi ni wavivu wa kusoma na kufatilia mambo ndo mana akitokea mtu kama lissu tunamuona genius akati alichonacho kinapatikana kwenye maandishi ambayo yeye mwenyewe huyasoma ili apate kuelewa mambo kiundani.

Amna chochote kinachoshangaza hapo
Kwa uandishi huu.."kwaiyo"... badala ya "kwahiyo"; "akati" badala ya "wakati".."amna" badala ya "hamna" halafu bado unajiona unajua sawa na TL
 
Dumas the terrible

JF-Expert Member
Jan 20, 2021
2,444
2,000
Kwa uvivu wenu wa kusoma historia ndio maana mnamuona Lisu ana akili kuwazidi wote huko chadema
Wewe mataga wewe mataga Acha vituko aisee
Hivi wewe una elimu Gani ya kumzidi Lissu Acha kutia huruma hapa kiufupi hata
Mzee #Mohamed Said kawazidi Kwa kujua historia ya Tanganyika kuliko Chief wenu hangaya Kama unabisha tuweke mdahalo wa uchambuzi kati ya huyo Mzee na mataga wote Nchi nzima atawapiga mbali Sana na hapo yeye kasimuliwa tu na Babu zake
Haya akileta na aliyosoma si mtakimbia nyinyi
Kubarini aliye pewa kapewa tu!
 
Trillion

JF-Expert Member
Apr 24, 2018
2,991
2,000
Kwa uandishi huu.."kwaiyo"... badala ya "kwahiyo"; "akati" badala ya "wakati".."amna" badala ya "hamna" halafu bado unajiona unajua sawa na TL
MaCCM wote akili zao hazina akili , lisikuchoshe hilo kubwa jinga.
 
kitimtim

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,031
2,000
Uandaliwe mdahalo Lisu vs Hangaya. Utaona vituko duniani. Hangaya ni Rais hewa, mambo mengi hayajui, mfano;

1. Alidanganywa na kina Siro kuwa Adamoo na wenzake wameshahukumiwa kumbe wamefichwa Mbweni mwaka mzima.

2. Anazindua chanjo ya J&J ila alikuwa hajui kuwa hiyo ni dozi moja tu hadi alipofundishwa mbele za hadhara. Alijua ni dozi mbili. Kaja kuzindua kitu asichokijua kabisaaaaa.

Yajayo yanahuzunisha.
kumbe
 
Trillion

JF-Expert Member
Apr 24, 2018
2,991
2,000
Wewe mataga wewe mataga Acha vituko aisee
Hivi wewe una elimu Gani ya kumzidi Lissu Acha kutia huruma hapa kiufupi hata
Mzee #Mohamed Said kawazidi Kwa kujua historia ya Tanganyika kuliko Chief wenu hangaya Kama unabisha tuweke mdahalo wa uchambuzi kati ya huyo Mzee na mataga wote Nchi nzima atawapiga mbali Sana na hapo yeye kasimuliwa tu na Babu zake
Haya akileta na aliyosoma si mtakimbia nyinyi
Kubarini aliye pewa kapewa tu!
Sasa unamuonea tu Hangaya ni hakosei mjadala tena, kama Nyerere day kawai Chato makaburini na mauwa na matv mgongoni๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
MaCCM wote akili zao hazina akili.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom