GE2020 Hivi Tundu Lissu amepewa ulinzi na Serikali?

GE2020 Hivi Tundu Lissu amepewa ulinzi na Serikali?

View attachment 1601611

Katika kipindi hiki cha kampeni za urais, nimekuwa nikimwona huyo jamaa aliyevaa ‘Kaunda suti’ ya buluu hapo kwenye picha, akiwa pembeni ya Tundu Lissu karibu kila sehemu.

Nikiangalia mavazi yake pamoja na hako ka peni alikokachomekea kwenye mfuko wake wa shati, naona ana fit profile ya wale walinzi kutoka serikalini ambao huwalinda viongozi wa nchi.

Najua kwa nchi kama Marekani, wagombea urais wa vyama vikuu [Republican na Democrats na pengine hata wale wa kujitegemea kama Ross Perot] hupatiwa ulinzi wa Secret Service.

Sasa kwa Tanzania sijui. Kama kuna anayejua, itapendeza akitujuza wale ambao hatujui.

Manake kila nikimwangalia huyo jamaa naona kama vile anatoka kwenye hicho kitengo cha walinzi wa viongozi.

Kama anatokea huko, ni jambo ambalo ni la mwaka huu tu hususan kwa Tundu Lissu au ni ndivyo ilivyo miaka yote ya uchaguzi?
Kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi, mara mtu akiteuliwa kuwa mgombea urais pia na mgombea mwenza na Tume ya Uchaguzi anapewa ulinzi kutoka kikosi cha TISS. Aidha polisi wanatakiwa kulinda makazi yake na po pote atakapolala.
 
Kuna kitengo cha propaganda na spinning

TISS imegawanyika idara 4.
1.idara ya kukusanya taarifa za kila sekta
2.Idara ya ulinzi
3.Idara kuzuia ugaidi na magendo na biashara haramu
4.idara ya protocol ya viongoz wa kigeni
5.idara ya mahusiano na maendeleo ya jamii.

Ndan yake ndo kuna vitengo mbalimbali
Kitengo cha propaganda na spinning
Kitengo cha kufanya vetting ya viongoz
Kitengo cha siasa na uchumi
Kitengo cha uporaji mali(hiki ni siri)
Kitengo cha sayansi na teknolojia
Kitengo cha dawati la Rais aliyeko madarakani
Kitengo cha kumdhoofisha Rais aliyeko madarakani n.k n.k
Kitengo cha kumdhoofisha Rais aliyeko madarakani? Kinajulikana? Hebu fafanua
 
Mhh, hapana mkuu hayo sio mambo yangu, Mimi ni mchambuzi tu wa maswala ya kisiasa na taaluma yangu ni sheria.
Sheria? Unafanya kazi kitengo gani Hapo ccm lumumba?
 
Unarudia maneno yaleyale kwenye uzi uleule. Inaonyesha kuwa kwenye uzi huu, Jiwe atapata kura 1 moja tu.
Ni muhimu wewe,yeye,yule na mimi tukampe kura Mzalendo wa kweli.

October 28th kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Labda tujiulize hivi; serikali iimpe ulinzi Lissu halafu izuie meli/bot ya kwenda Ukerewe ili Lissu asiende and then walinzi hao hao waliopitia mafunzo makali waruhusu Lissu apande Mtumbwi 21 km in the water? Dont think so, akili ya kawaida inakataa hili jambo
 
Walinzi wa serikali toka lini wakatembea na majambia? Ila ulinzi wa kweli huutoa Mungu maana imeandikwa amelaaniwa yule amtegemeaye binadamu mwenzake kama kinga.

Haya mengine huwa ni protocol za kidunia tuu maana pia tuliambiwa tutii mamlaka zilizowekwa hapa Duniani ila ulinzi wa kweli na uhakika ni wa kupiga goti na kufanya maombi.

October 28th tujitokeze kwa wingi tukampe kura za ndio JPM maana ni Kiongozi aliyetukumbusha kumlilia Mungu tulipokuwa katika nyakati ngumu za Covid 19.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Mamtu mengine majinga sana kama ww
 
Mamtu mengine majinga sana kama ww
Mkuu wa wajinga naomba kwa pamoja tukampe kura za ndio JPM.

October 28th kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Walinzi wa serikali toka lini wakatembea na majambia? Ila ulinzi wa kweli huutoa Mungu maana imeandikwa amelaaniwa yule amtegemeaye binadamu mwenzake kama kinga.

Haya mengine huwa ni protocol za kidunia tuu maana pia tuliambiwa tutii mamlaka zilizowekwa hapa Duniani ila ulinzi wa kweli na uhakika ni wa kupiga goti na kufanya maombi.

October 28th tujitokeze kwa wingi tukampe kura za ndio JPM maana ni Kiongozi aliyetukumbusha kumlilia Mungu tulipokuwa katika nyakati ngumu za Covid 19.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Anatosha kwako
 
Lissu analindwa na wahuni tu wamtaani hakuna professional hata mmoja niamini mimi
 
Back
Top Bottom