huyo hapati, na mpango wa kuiba kura kwa kutumia mawakala huo unakwenda kuthibitiwa....huu ni mwaka wa aibu...Ndo yeye huyo.
October 28th kura zote ni kwa JPM
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
huyo hapati, na mpango wa kuiba kura kwa kutumia mawakala huo unakwenda kuthibitiwa....huu ni mwaka wa aibu...Ndo yeye huyo.
October 28th kura zote ni kwa JPM
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Wagombea wote wa uraisi walipewa ulinzi na serikali siku waliporudisha fomu na kuthibitishwa rasmi na NEC kuwa wagombea.View attachment 1601611
Katika kipindi hiki cha kampeni za urais, nimekuwa nikimwona huyo jamaa aliyevaa ‘Kaunda suti’ ya buluu hapo kwenye picha, akiwa pembeni ya Tundu Lissu karibu kila sehemu.
Nikiangalia mavazi yake pamoja na hako ka peni alikokachomekea kwenye mfuko wake wa shati, naona ana fit profile ya wale walinzi kutoka serikalini ambao huwalinda viongozi wa nchi.
Najua kwa nchi kama Marekani, wagombea urais wa vyama vikuu [Republican na Democrats na pengine hata wale wa kujitegemea kama Ross Perot] hupatiwa ulinzi wa Secret Service.
Sasa kwa Tanzania sijui. Kama kuna anayejua, itapendeza akitujuza wale ambao hatujui.
Manake kila nikimwangalia huyo jamaa naona kama vile anatoka kwenye hicho kitengo cha walinzi wa viongozi.
Kama anatokea huko, ni jambo ambalo ni la mwaka huu tu hususan kwa Tundu Lissu au ni ndivyo ilivyo miaka yote ya uchaguzi?
Oh ok. Sikujua hilo.
Basi huenda huyo jamaa ni wa kutoka serikalini...
Raia, wanahasira nae sana.Jambo ambalo limewakasirisha CCM
Wewe jidanganye tuu...Wazalendo kura zote tutampa JPM.huyo hapati, na mpango wa kuiba kura kwa kutumia mawakala huo unakwenda kuthibitiwa....huu ni mwaka wa aibu...
hapiti bwana, hata kura hamna uwezo wa kubia.... endeleeni kujidanganya hapo Lumumba kwa vikao visivyoisha...Wewe jidanganye tuu...Wazalendo kura zote tutampa JPM.
October 28th kura zote ni kwa JPM.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Huyo huyo msimamizi wa sheria anaweza akazisigina mjomba kwa maslahi yake.Ni sheria kaka sio matakwa ya mtu binafs
Hata wale wanaosimama nyuma ya jiwe nao hua wanachuchumaa.......?Walinzi kazi yao kukuelekeza kuwa wee mgombea jiwe hilo linakuja chuchumaa chini ukikataa wanakuacha litue kichwani kwako watakukimbiza hospitali au mortuary lolote likitokea kati ya hayo
Achana na hilo Popoma 24hrs lipo kishabiki hakijui kituHata wale wanaosimama nyuma ya jiwe nao hua wanachuchumaa.......?
Haupo neuturalRaia, wanahasira nae sana.
Kwa mahaba yako unaweza usiamini ila hilo ndilo anguko lake.
Ni takwa la kisheria serikali kumpa ulinzi mgombea uraisNN naomba kukujibu hivi Lissu amepewa ulinzi wa serikali.kama mgombea na hili lilikuwa ni moja ya msisitizo ambao serikali ilipewa toka kwa big bosses kwako Lissu atapitishwa kugombea nafasi ya uras.
Kama unakumbuka alivyakuja tu toka alikuwa na ulinzi wake mmoja hivi alikuwa anavaaga tochi kwenye paji la uso.
Alipotangazwa tu kuwa mgombea serikali ya JMT ilimpatia ulinzi wa maafisa wa serikal
Kuthibitisha hili you can ask Matola na Mentor mdogo wangu wa faida
Lkn pia bado wapo Walinzi wa chama wanamlinda.
Angalia mara nyingi sana afisa kipenyo huwa nyuma yake mara zote na hawa wa chama huwa karibu na huyu afisa kipenyo
Hawez kupewa kma kwenye makaratas ya kupigia kura hawajakumbuka kwamba yanatakiwa yapangwe majina ya vyama Alphabetically watakumbuka kumpa lissu walinzi?View attachment 1601611
Katika kipindi hiki cha kampeni za urais, nimekuwa nikimwona huyo jamaa aliyevaa ‘Kaunda suti’ ya buluu hapo kwenye picha, akiwa pembeni ya Tundu Lissu karibu kila sehemu.
Nikiangalia mavazi yake pamoja na hako ka peni alikokachomekea kwenye mfuko wake wa shati, naona ana fit profile ya wale walinzi kutoka serikalini ambao huwalinda viongozi wa nchi.
Najua kwa nchi kama Marekani, wagombea urais wa vyama vikuu [Republican na Democrats na pengine hata wale wa kujitegemea kama Ross Perot] hupatiwa ulinzi wa Secret Service.
Sasa kwa Tanzania sijui. Kama kuna anayejua, itapendeza akitujuza wale ambao hatujui.
Manake kila nikimwangalia huyo jamaa naona kama vile anatoka kwenye hicho kitengo cha walinzi wa viongozi.
Kama anatokea huko, ni jambo ambalo ni la mwaka huu tu hususan kwa Tundu Lissu au ni ndivyo ilivyo miaka yote ya uchaguzi?
Walinzi wa serikali toka lini wakatembea na majambia? Ila ulinzi wa kweli huutoa Mungu maana imeandikwa amelaaniwa yule amtegemeaye binadamu mwenzake kama kinga.
Haya mengine huwa ni protocol za kidunia tuu maana pia tuliambiwa tutii mamlaka zilizowekwa hapa Duniani ila ulinzi wa kweli na uhakika ni wa kupiga goti na kufanya maombi.
October 28th tujitokeze kwa wingi tukampe kura za ndio JPM maana ni Kiongozi aliyetukumbusha kumlilia Mungu tulipokuwa katika nyakati ngumu za Covid 19.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Msimu wa kilimo unaanza lini?Je unahitaji kulima mahindi na hauna muda wa kusimamia? Au unataka upate mavuno mengi zaidi? Njoo ofisini kwetu.
Ofisi ya YAD yenye wataalamu wabobezi wa kilimo sasa inakuletea mpango wa kusimamia shughuli zote za shambani. Mkulima utatukabidhi shughuli zako pale shambani kwako sisi tutafanya kila kitu kwa utaalamu zaidi na kukukabidhi mazao yako yakiwa yamekomaa. Gharama zetu ni nafuu sana na tunakuhakikishia kwa ekari moja kuvuna mahindi zaidi ya gunia 30. Usihangaike sasa, sisi tupo kwa ajili yako, Kwa Wale ambao hawana mashamba tutakuwezesha kupata mashamba ya kukodi kwa elfu 40 tu na mashamba ya kununua kwa elfu 60 tu hata ukihitaji ekari 100 za kununua utazipata kwa bei hiyo hiyo.
Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu.
Jengo la NSSF SONGEA
Ghorofa ya 3 chumba no. 317
Simu. 0621133117
Nadhani ni utaratibu kwa wagombea Uraisi wote pamoja na wagombea wenza kupewa ulinzi rasmi toka vyombo vya ulinzi na usalama!View attachment 1601611
Katika kipindi hiki cha kampeni za urais, nimekuwa nikimwona huyo jamaa aliyevaa ‘Kaunda suti’ ya buluu hapo kwenye picha, akiwa pembeni ya Tundu Lissu karibu kila sehemu.
Nikiangalia mavazi yake pamoja na hako ka peni alikokachomekea kwenye mfuko wake wa shati, naona ana fit profile ya wale walinzi kutoka serikalini ambao huwalinda viongozi wa nchi.
Najua kwa nchi kama Marekani, wagombea urais wa vyama vikuu [Republican na Democrats na pengine hata wale wa kujitegemea kama Ross Perot] hupatiwa ulinzi wa Secret Service.
Sasa kwa Tanzania sijui. Kama kuna anayejua, itapendeza akitujuza wale ambao hatujui.
Manake kila nikimwangalia huyo jamaa naona kama vile anatoka kwenye hicho kitengo cha walinzi wa viongozi.
Kama anatokea huko, ni jambo ambalo ni la mwaka huu tu hususan kwa Tundu Lissu au ni ndivyo ilivyo miaka yote ya uchaguzi?
AMENTundu Lissu analindwa na Mungu tu, BWANA ASIPOULINDA MJI, WAULINDAO WAKESHA BURE
Ndio ujue Mungu yupoKwanini huyo Mungu hakuzizuia hizo risasi 16 kuliko kumwacha atandikwe nazo?