Hivi tuna Jaji Mkuu na Mahakama nchi hii! Mbona Rais anavunja sheria hivi?

Suluhisho la kudumu na litakaloirejesha nchi kwenye mstari mnyoofu na wa heshima ni PEOPLES REVOLUTION. MAPINDUZI YA UMA.

Haya mapinduzi yanapaswa yaanzishwe na raia kwa dhati kabisa bila kujali gharama zake.

Kwa mfumo huu, hakuna mabadiliko yatakayoshuka kutoka kwa wanasiasa wanaopigania matumbo yao.

Ila naamini, IPO SIKU watu wataamua na watawala watasikiliza.

Naanza kukubaliana na Bob Marley

It takes a REVOLUTION, to make a SOLUTION
So much confusion, so much frustration
I don't wanna live in the park
Can't trust no shadow after dark
My Friend, I wish that you could see
Like the bird in tree
The prisoners must be free yeah!
 
Itumike sheria!

Niliandika last week sheria zetu ni Mtu anakuwa Mtuhumiwa hadi Mahakama imthibitishe ana hatia. Hadi leo sielewi hii inaitwa msamaha wa Rais kwa watuhumiwa wanaokiri kosa na kulipa itaitwaje?! Ni kama vile una hatia hadi pale utakapofanya malipo!

Kikao cha Bunge lililopita lilipitisha sheria ya kujadiliana na mtuhumiwa akilipa adhabu inapungua, inaitwa Plea Bargain. Hii ipo kisheria.
Yaani DPP anapeleka Mashtaka Mahakamani, baadae DPP anapokubaliana na mtuhumiwa, kesi inaitwa na kukiri kosa halafu Mahakama inampata na hatia na kumhukumu kulipa kiwango walichokubaliana na kuachiwa huru. Hiyo ndio sheria ya Plea Bargain iliyopitishwa na Bunge na haihitaji msamaha wala deadline ya siku ya msamaha kama alivyotoa Mheshimiwa Rais.

Msamaha wa Rais kisheria ni Presidential pardon ambayo hutolewa kwa Mtu yeyote aliyehukumiwa na Mahakama na sio vinginevyo.
Hiki kinachoendelea hakipo kisheria zaidi ya siasa tu, na ndio maana kukipooza anasema ni ushauri amempa DPP. Unampaje ushauri DPP wakati sheria ipo imepitishwa na Bunge na kijachotakiwa toka kwa Rais ni kusaini tu na kuwa sheria kamili?!? Ninasikia ameisaini Plea Bargain kuwa sheria, huo msamaha wa Rais ni wa nini na unaitwaje??!!

Kwakuwa ni msamaha kwa mtuhumiwa, kitakachofanyika ni kwa DPP kwenda Mahakamani na kutoa hoja ya kuondoa kesi Mahakamani kwa mtuhumiwa ambayo kikatiba ni DPP tu ndiye mwenye uwezo huo. Hii maana yake inamuondolea mtuhumiwa taarifa ya kushtakiwa Mahakamani wala maamuzi ya Mahakama hayapo.

Kila Mtu ana records zake kimaisha, nauliza huyu Mtuhumiwa aliyekaa Mahabusu muda wote huo na leo kuomba yaishe na kulipa pesa akatoka Gerezani, Kesho anakutana na maswali ya Je umewahi kushtakiwa Mahakamani??! Je ulipatikana na hatia??!! Huyu mtuhumiwa atakuwa na majibu gani wakati walimalizana kiaina na DPP??!!

Hii ni nchi inayojivunia sana kuheshimu Utawala wa sheria na kujinadi mihimili yake mitatu ya Dola yaani Serikali Kuu, Bunge na Mahakama kuwa huru kimaamuzi, ni kwanini sasa Serikali isiachie Mahakama itekeleze wajibu wake kisheria kwa urahisi zaidi wa kutumia sheria ya Plea Bargain ambayo itafanya kazi muda wote pasipo Mheshimiwa Rais kutoa siku tatu au saba kwa walio tayari??!!
Jela sio pazuri na hakuna anayetaka kukaa Jela, hivyo ni rahisi mtuhumiwa hata kama hana kosa, kukiri ili atoke tu aendelee na shughuli zake.
Sijaelewa lengo hapa ni kupatikana Pesa au kutoa haki kwa mtuhumiwa?!!

Binafsi naumia sana kuona Mtu anakaa Rumande muda mrefu pasipo kesi kwisha, ni vyema Mheshimiwa Rais kama ana nia dhabiti ya kupunguza mahabusu kufuata ushauri wa Jaji Mkuu wa DPP kupeleka Mashtaka Mahakamani yaliyokamilika kuliko kupeleka Mashtaka halafu anasema upelelezi bado haujakamilika, hiyo inasababisha mlundikano mahabusu bila sababu!

Nyingine ni kuwa na sheria ya mtuhumiwa kukaa Rumande mwisho siku 90 na kwa kesi za mauaji siku 180 kesi imekwisha vinginevyo Mtuhumiwa anapata mdhamana na kama upelelezi haujakamilika, basi kesi inafutwa na mtuhumiwa anaachiwa huru.
Leo mahabusu watuhumiwa wana miaka kibao bado hata kesi kuanza, hii sio haki kabisa!

Sheria itumike kumaliza kesi na haki ionekane imetendeka, lugha za kisiasa hazipo hapo!

Tanzania ni yetu sote 💪🏾🇹🇿
FB_IMG_1569991631748.jpg
 
Huyu faza sometimes namwelewa sometime simwelewagi,anafanya mambo kama Dj wa bar anapiga wimbo huu halafu tena ana-skip anapiga ule alimradi vurugu.

Kama alishasaini sheria inayoruhusu majadiliano na watuhumiwa kwa nini asimame tena yeye instead ya kile alichokisaini amma hakusoma vizuri nyaraka alizoletewa mezani?haingii akilini kabisa yani.
 
Hiyo sheria inasamehe kosa moja moja kwa mujibu wa makubaliano na makosa mtuhumiwa anayokiri makubwa kwa madogo.

Msamaha wa Rais Magufuli ni kwamba ukirejesha fedha ulizofisadi unasamehewa makosa yote na kupewa onyo la kutorudia tena.

Uwe unaelewa bwashee!
 
Awamu hii tunashuhudia Watu wakifunguliwa kesi za uhujumu uchumi hata kama wanapo kamatwa wanakamatwa kwa tuhuma tofauti.Tumeona mtu anakamatwa kwasababu ya mashaka juu ya uraia wake,lakini baadaye Gia inabadilishwa angani na kupewa kesi ya uhujumu uchumi.Tumeona mtu anakamatwa kwa kosa la uchochezi baadaye kesi inabadilishwa na kuwa ya uhujumu uchumi.Cha ajabu zaidi wahujumu uchumi uchumi wakishakuwa wengi unatangazwa kwa Masharti ya kurudisha Pesa. Je! Kesi za uhujumu uchumi ni chanzo kipya cha mapato?
 
Boris Johnson UK Pm amesuspend binge na mahakama inayojitambuwa wajibu wake imesema no kinyume cha sheria. IBRA hawezi kufikia viwango hivi ikiwa LA mgombea binafsi tu Augustino Ramadhani alitusaliti Watanzania.

Hawa watakufa vifp vibaya sana, Samuel Sitta tayari yuko kwenye mtoa hukumu za haki, ajibu mashtaka ya kulisaliti Taifa na kuinajisi katiba mpya, mbaya wa haya mateso yote ni Samuel Sitta na siyo Magufuli.

Nyerere alishasema kwa katiba hii akiamuwa kuwa dikteta au mungu MTU ni rahisi.

Samuel Sitta huko alipo achomwe moto wa milele.
 
Itumike sheria!

Niliandika last week sheria zetu ni Mtu anakuwa Mtuhumiwa hadi Mahakama imthibitishe ana hatia. Hadi leo sielewi hii inaitwa msamaha wa Rais kwa watuhumiwa wanaokiri kosa na kulipa itaitwaje?! Ni kama vile una hatia hadi pale utakapofanya malipo!

Kikao cha Bunge lililopita lilipitisha sheria ya kujadiliana na mtuhumiwa akilipa adhabu inapungua, inaitwa Plea Bargain. Hii ipo kisheria.
Yaani DPP anapeleka Mashtaka Mahakamani, baadae DPP anapokubaliana na mtuhumiwa, kesi inaitwa na kukiri kosa halafu Mahakama inampata na hatia na kumhukumu kulipa kiwango walichokubaliana na kuachiwa huru. Hiyo ndio sheria ya Plea Bargain iliyopitishwa na Bunge na haihitaji msamaha wala deadline ya siku ya msamaha kama alivyotoa Mheshimiwa Rais.

Msamaha wa Rais kisheria ni Presidential pardon ambayo hutolewa kwa Mtu yeyote aliyehukumiwa na Mahakama na sio vinginevyo.
Hiki kinachoendelea hakipo kisheria zaidi ya siasa tu, na ndio maana kukipooza anasema ni ushauri amempa DPP. Unampaje ushauri DPP wakati sheria ipo imepitishwa na Bunge na kijachotakiwa toka kwa Rais ni kusaini tu na kuwa sheria kamili?!? Ninasikia ameisaini Plea Bargain kuwa sheria, huo msamaha wa Rais ni wa nini na unaitwaje??!!

Kwakuwa ni msamaha kwa mtuhumiwa, kitakachofanyika ni kwa DPP kwenda Mahakamani na kutoa hoja ya kuondoa kesi Mahakamani kwa mtuhumiwa ambayo kikatiba ni DPP tu ndiye mwenye uwezo huo. Hii maana yake inamuondolea mtuhumiwa taarifa ya kushtakiwa Mahakamani wala maamuzi ya Mahakama hayapo.

Kila Mtu ana records zake kimaisha, nauliza huyu Mtuhumiwa aliyekaa Mahabusu muda wote huo na leo kuomba yaishe na kulipa pesa akatoka Gerezani, Kesho anakutana na maswali ya Je umewahi kushtakiwa Mahakamani??! Je ulipatikana na hatia??!! Huyu mtuhumiwa atakuwa na majibu gani wakati walimalizana kiaina na DPP??!!

Hii ni nchi inayojivunia sana kuheshimu Utawala wa sheria na kujinadi mihimili yake mitatu ya Dola yaani Serikali Kuu, Bunge na Mahakama kuwa huru kimaamuzi, ni kwanini sasa Serikali isiachie Mahakama itekeleze wajibu wake kisheria kwa urahisi zaidi wa kutumia sheria ya Plea Bargain ambayo itafanya kazi muda wote pasipo Mheshimiwa Rais kutoa siku tatu au saba kwa walio tayari??!!
Jela sio pazuri na hakuna anayetaka kukaa Jela, hivyo ni rahisi mtuhumiwa hata kama hana kosa, kukiri ili atoke tu aendelee na shughuli zake.
Sijaelewa lengo hapa ni kupatikana Pesa au kutoa haki kwa mtuhumiwa?!!

Binafsi naumia sana kuona Mtu anakaa Rumande muda mrefu pasipo kesi kwisha, ni vyema Mheshimiwa Rais kama ana nia dhabiti ya kupunguza mahabusu kufuata ushauri wa Jaji Mkuu wa DPP kupeleka Mashtaka Mahakamani yaliyokamilika kuliko kupeleka Mashtaka halafu anasema upelelezi bado haujakamilika, hiyo inasababisha mlundikano mahabusu bila sababu!

Nyingine ni kuwa na sheria ya mtuhumiwa kukaa Rumande mwisho siku 90 na kwa kesi za mauaji siku 180 kesi imekwisha vinginevyo Mtuhumiwa anapata mdhamana na kama upelelezi haujakamilika, basi kesi inafutwa na mtuhumiwa anaachiwa huru.
Leo mahabusu watuhumiwa wana miaka kibao bado hata kesi kuanza, hii sio haki kabisa!

Sheria itumike kumaliza kesi na haki ionekane imetendeka, lugha za kisiasa hazipo hapo!

Tanzania ni yetu sote 💪🏾🇹🇿View attachment 1221287
Kama nchi tupo kwenye state of anarchy. Hakuna kitu kinaitwa Rule of Law. Nchi inaendeshwa kwa decree, bunge ni rubber stamp na Judiciary ni puppet wa Executive.

Kuhusu watawala wa aina hii, Niccolo Machiavelli alisema; "It is better to be feared than loved." As long as the feared ruler is seen as bringing about prosperity or protecting the lives of his subjects, it is entirely possible that his people will be happy.
 
Kwa utaratibu wa rais kuchagua Jaji, wewe unahisi bosi wa jaji ni nani?
Kwa tafsiri kwamba Rais ni mkuu wa Executive, head of the government, head of the state.
Kwa utaratibu huu, unaweza kuona namna ambavyo Jaji mkuu anavyopata changamoto kwenye mambo kama haya.
 
Kama nchi tupo kwenye state of anarchy. Hakuna kitu kinaitwa Rule of Law. Nchi inaendeshwa kwa decree, bunge ni rubber stamp na Judiciary ni puppet wa Executive.

Kuhusu watawala wa aina hii, Niccolo Machiavelli alisema; "It is better to be feared than loved." As long as the feared ruler is seen as bringing about prosperity or protecting the lives of his subjects, it is entirely possible that his people will be happy.K
Kabla ya kuhukumu, pengine tungejiuliza 'plea bargaining' kwenye sheria ni kitu gani, kinatumika vipi na mwisho wa siku tuweze kuwekana sawa badala ya kuongelea dhana hiii kijuujuu. Hivyo basi itapendeza sana kama atatokea mwanajamvi ambaye anafahamu vizuri sheria atusaidie. Mihemko haisaidii.
 
Mahakama zimeoza. Ni jambo la kushangaza sana CAG hana mhimili lakini anasimamia taasisi yake vizuri lakini jaji mkuu anasujudia wanasiasa wa mihimili mingine.

Hawa washenzi sijui ni lini wataamka kutoka huko usingizini
Tutaweka msukuma hapo kazi itakuwa imeisha
 
Back
Top Bottom