Hivi tuna Jaji Mkuu na Mahakama nchi hii! Mbona Rais anavunja sheria hivi?

Katiba mpyaa ndio sululisho la kitu.

Let's rescue our country from dispair through New constitution.
Nawashangaa sana mnaofikiri katiba mpya itasaidia. Kwani iliyopo inaruhusu serikali kuteka raia na kuwatuhumu kisha iwalazimishe wakiri makosa walipe RANSOM ili waachiwe?

Hata ishushwe katiba kutoka mbinguni ni kazi bure. HESHIMA YA KWELI ITAKUJA PALE AMBAPO MADHARA YA KUVUNJA KATIBA YATAONEKANA WAZIWAZI.

Mapendekezo yangu ni kuingia barabarani kila mmoja ashike silaya anayoimudu. Tutakaporudi upya tutaheshimiana. Hakuna mbwa atakayedhubutu tena kuvunja katiba. Hata awe rais, ataheshimu kila mtu kama Trump anavyofanya huko US.

Atajua akizingua na sisi tutamfyekelea mbali hata kabla ya muhula wake kutimia.
 
Unataka CJ atoe matamko majukwaani?
Peleka kesi na ushahidi wa kutosha kuhusu unayoyarejea kama uvunjifu wa sheria na mahakama ita-adjudicate.

The court we have is the "court of law" not court of justice. Itafanya kazi kwa mujibu wa sheria inasema nini siyo haki inasema nini. I.e. What the law "is" not what the law "ought" to be.

Kwa hiyo Jaji wetu ni loyal kwa sheria zetu siyo kwa public opinion na justice au equity.

Unachokiona wewe hakijatendeka kwa haki, jua kimetendeka kwa mujibu wa sheria. Mfano. Kuachiwa kwa watuhumiwa wa uhujumu uchumi limefanyika kwa mujibu wa sheria-plea bargaining. Kwa hiyo wewe utaona haki haijatendeka lakini Rais na mahakama wamezingatia what the law is not ought to be kama ungependa wewe sheria iwe!
 
huyu tuliye naye ni "Chief Lawyer" au "Chief Justice"?

Huo ushauri wako ungefanya kazi tungekuwa na watu wa Calibre ya Jaji Lugakingira siyo watu kama huyu wa leo ambaye Court inageuzwa kikaragosi cha serikali na yeye yupoyupo tu!
 
Ukiandika hivyo hata kama unawanga usiku unajihisi wewe ni malaika?

Sijakandamizwa popote na naamini kila aliyetokewa na baya ana sababu...

I am not hired to cry for everyone...
Unless nina ushahidi ameonewa bila sababu

jibebe boss...
Wa shetani ni pamoja na wanaonyamazia ukandamizaji kama wewe, na pia wanaohamasisha na kushangalia ukandamizaji ili wapendwe na MKANDAMIZAJI mkuu ze Jiwe.
 
umenyang'anywa mamlaka gani boss?
Magu atakua kakuathiri sana kisaikolojia
Ulibadilisha lini hiyo katiba? Hiyo miteremko ni IPI? Mbona wajaribu kujipa mamlaka ya kunuang'anya mamlaka ya wananchi? Wa kijani mmelishwa kitu gani mpaka mnakuwa vituko?
 
Hao wote wameshindwa kusimama kutetea hadhi na mamlaka ya vyombo vyao, yaani wamejikunyata kama makinda ya ndege na kujiweka kwenye fumbato la Jiwe kupata joto lake!
Hivi hao Watu wanafikiri kuwa kama wao ni matunda ya hisani ya Jiwe basi hata vyombo vyao wanavyoviongoza navyo vipo kwa hisani ya Jiwe?

Hivi hawajui haki ngapi za wananchi zinasiginwa kwa wao kujivutavuta kusimama kidete?
Njaa mbaya sana
 
Mkuu unakumbuka kuwa Bw Yule alishasema yeye ndiye anaewateua na yeye ndiye anaewalipa mishahara na kuwapatia Magari? Je umesahau vitisho dhidi yao? Kwa ujumla Nchi yetu imeoza na hatuna wakutusafishia bali ni sisi wenyewe.
Tufanye nn basi? Kila mmoja wetu atafute jibu.
Jibu lipo ila utendaji ndo kasheshe hatutaki kulipa gharama za kumtoa mkoloni mweusi
 
Asante Mkuu kwa thread hii nzuri..

Mkuu, Tanzania sasa ivi IMEOZA..

Mamlaka ya Mahakama tayari imeshaporwa..

Yule CJ ni takataka.

Huyu C.J. wa sasa was compromised mara tu pale JIWE alipomteua na kumfanya Acting Chief Justice; hiyo ilikuwa mbinu ya kumpa message kuwa yeye alikuwa anatumikia Mahakama at the pleasure of JIWE!!! Kabla ya hapo hatukuwahi kuwa na uteuzi wa "ACTING C.J."; hivyo mpaka pale alipokuwa confirmed akawa hana nguvu tena za kuweza kutetea uhuru wa muhimili wa mahakama. Ndio maana kila anapowaapisha wateule wake JIWE anamlazimisha C.J. kuwepo Ikulu hata pale wale wanaoapishwa hawahusiani na kazi za Mahakama. Sio hivyo tu Jiwe anadiliki mpaka anashinikiza wakinanani Mahakama iwateue kuwa majaji wa Mahakama kuu!!!

Wakati Barnabas Samatta alipokuwa C.J., muhimili wa mahakama ulikuwa unaheshimika sana kwani ulikuwa huru na haukuingiliwa na serikali katika maamuzi yake!! It is very unfortunate that the country has regressed in the past three years.
 
UKIWA RAIS TZ UNAKUWA JUU YA SHERIA, RAIS ANAWEZA KUAMUA NA KUFANYA JAMBO LOLOTE
HATA KAMA MAHAKAMA IMEMHUKUMU MTU FULANI KWA KOSA RAIS ANAWEZA AKAJA NA KUMFUNGULIA Eg-babu seyaz

Ova
 
Nawashangaa sana mnaofikiri katiba mpya itasaidia. Kwani iliyopo inaruhusu serikali kuteka raia na kuwatuhumu kisha iwalazimishe wakiri makosa walipe RANSOM ili waachiwe?
kama unaona katiba iliyipo haina uhusiano na madudu yote tunayoyaona kwenye awamu hii ya tano na hata awamu baadhi zilizopita basi utakuwa hujui hata nini maana ya katiba na utumikaji wake ukoje. Katiba iliyopo inatoa mamlaka yaliyopitiliza kwa raisi kiasi cha kwamba ana uwezo wa kuipeleka nchi anavyotaka yeye bila kupingwa na sio jinsi tunavyotaka wanainchi. Mfano hili suala la hao wahujumu uchumi kuambiwa walipe RANSOM kisha wachiwe huru hakuna sheria ambayo inaruhusu kitu kama hiki na hata hao wanaozisimamia hizo sheria wanalijua hili, lakini kwa sababu ni raisi ndio kaamua linafanyika bila kupingwa. Endapo kama tungekuwa na katiba imara isiyompa raisi nguvu dhidi ya mihimili mingine kama alivyo sasa hili lisingeweza kutokea sababu mahakama ingeweza kuweka pingamizi kwenye huu ukiukwaji wa sheria. Hii katiba tuliyonayo sasa inategemea zaidi busara za raisi lakini asipokuwa nazo hizo busara ni hatari sana.
Hata ishushwe katiba kutoka mbinguni ni kazi bure. HESHIMA YA KWELI ITAKUJA PALE AMBAPO MADHARA YA KUVUNJA KATIBA YATAONEKANA WAZIWAZI.
Kwa hapa kwetu madhara ya kuvunja katiba kwa watawala tumeshayaona mara nyingi sana lakini mpaka sasa hivi tumeshachukua hatua gani dhidi ya madhara hayo? Watawala wenyewe wanafanya madudu kwa makusudi sababu wanajua katiba inawalinda na ndio maana hawataki tuibadilishe. Tukiibadilisha na kuileta tunayoitaka sisi hawatakuwa na nguvu tena wakutuongoza wanavyotaka wao.
Mapendekezo yangu ni kuingia barabarani kila mmoja ashike silaya anayoimudu. Tutakaporudi upya tutaheshimiana. Hakuna mbwa atakayedhubutu tena kuvunja katiba. Hata awe rais, ataheshimu kila mtu kama Trump anavyofanya huko US.
Na hiki ndio cha kufanya kilichobaki, kama kweli hatutaki kuendelea kuishi chini ya huu uonevu na udhalimu basi hatuna budi kutumia nguvu ya umma physically kudai mabadiliko. Na siku zote hakuna mabadiliko chanya yanayopatikana kwa diplomatic solution bali mara nyingi huwa yanakuja kwa violent solution. Wabongo tukwama wapi sijui..!! nikionaga Waafrika wenzetu wanavyodai hako zao bila uoga mpaka natamani na mimi ningezaliwaga tu huko
Atajua akizingua na sisi tutamfyekelea mbali hata kabla ya muhula wake kutimia.
We seriously need to carry a massive uprisings against autocratic administration of this government in our demand for constitutional amendment that will be a primary solution for the most of problems we face.
 
kama unaona katiba iliyipo haina uhusiano na madudu yote tunayoyaona kwenye awamu hii ya tano na hata awamu baadhi zilizopita basi utakuwa hujui hata nini maana ya katiba na utumikaji wake ukoje. Katiba iliyopo inatoa mamlaka yaliyopitiliza kwa raisi kiasi cha kwamba ana uwezo wa kuipeleka nchi anavyotaka yeye bila kupingwa na sio jinsi tunavyotaka wanainchi. Mfano hili suala la hao wahujumu uchumi kuambiwa walipe RANSOM kisha wachiwe huru hakuna sheria ambayo inaruhusu kitu kama hiki na hata hao wanaozisimamia hizo sheria wanalijua hili, lakini kwa sababu ni raisi ndio kaamua linafanyika bila kupingwa. Endapo kama tungekuwa na katiba imara isiyompa raisi nguvu dhidi ya mihimili mingine kama alivyo sasa hili lisingeweza kutokea sababu mahakama ingeweza kuweka pingamizi kwenye huu ukiukwaji wa sheria. Hii katiba tuliyonayo sasa inategemea zaidi busara za raisi lakini asipokuwa nazo hizo busara ni hatari sana. Kwa hapa kwetu madhara ya kuvunja katiba kwa watawala tumeshayaona mara nyingi sana lakini mpaka sasa hivi tumeshachukua hatua gani dhidi ya madhara hayo? Watawala wenyewe wanafanya madudu kwa makusudi sababu wanajua katiba inawalinda na ndio maana hawataki tuibadilishe. Tukiibadilisha na kuileta tunayoitaka sisi hawatakuwa na nguvu tena wakutuongoza wanavyotaka wao. Na hiki ndio cha kufanya kilichobaki, kama kweli hatutaki kuendelea kuishi chini ya huu uonevu na udhalimu basi hatuna budi kutumia nguvu ya umma physically kudai mabadiliko. Na siku zote hakuna mabadiliko chanya yanayopatikana kwa diplomatic solution bali mara nyingi huwa yanakuja kwa violent solution. Wabongo tukwama wapi sijui..!! nikionaga Waafrika wenzetu wanavyodai hako zao bila uoga mpaka natamani na mimi ningezaliwaga tu huko
We seriously need to carry a massive uprisings against autocratic administration of this government in our demand for constitutional amendment that will be a primary solution for the most of problems we face.

Adui nambari moja wa nchi yetu ni mtu ajulikaye kwa jina la JAKAYA MRISHO KIKWETE anayeishi Msoga Chalinze kwa wakati huu. Huyu bwana akiwa RAIS ndiye aliyefanya mbinu za kusitisha muendelezo wa zoezi la nchi yetu kujipatia KATIBA WALIYOAITAKA WANANCHI pale alipositisha tume ya Warioba kuendelea na kazi yake ya kutuletea katika mpya!!

Laiti kama yale mapendekezo ya wananchi yangezaa katiba mpya, leo hii watu tusingekuwa tunalalalmika juu ya JIWE kuingilia uhuru wa mihimili mingine na uvunjifu mwingine wa haki za binadamu unaondelea nchini hivi sasa; ikiwemo utekaji wa wananchi na mambo mengine mengi ya kiharamia.

It is high time KIKWETE was brought to account for his cardinal sin of sabotaging the constitution review process; that had already spent billons of shillings of tax-payers money in order to have a new mother law for the country.
 
Kuna mhimili uliojichimbia chini zaidi kwa mujibu wa mzee wa kuombewa, tuendelee kumuombea
 
Tubaki kuwa watazamaji tutafanyaje ,la kumfanya hatuna,ataondoka one day tutapata nafuu
 
Adui nambari moja wa nchi yetu ni mtu ajulikaye kwa jina la JAKAYA MRISHO KIKWETE anayeishi Msoga Chalinze kwa wakati huu. Huyu bwana akiwa RAIS ndiye aliyefanya mbinu za kusitisha muendelezo wa zoezi la nchi yetu kujipatia KATIBA WALIYOAITAKA WANANCHI pale alipositisha tume ya Warioba kuendelea na kazi yake ya kutuletea katika mpya!!

Laiti kama yale mapendekezo ya wananchi yangezaa katiba mpya, leo hii watu tusingekuwa tunalalalmika juu ya JIWE kuingilia uhuru wa mihimili mingine na uvunjifu mwingine wa haki za binadamu unaondelea nchini hivi sasa; ikiwemo utekaji wa wananchi na mambo mengine mengi ya kiharamia.

It is high time KIKWETE was brought to account for his cardinal sin of sabotaging the constitution review process; that had already spent billons of shillings of tax-payers money in order to have a new mother law for the country.
Kama kuna kosa ambalo Kikwete amewahi kulifanya na hastahili kusamehewa kabisa popote pale basi ni hili la kubaka mchakato wa katiba mpya. Kikwete na genge lake la akina Sita(Rest in hell) pamoja na Chenge walitufanyia tukio baya sana watanzania kwa kutunyima hitaji letu la msingi ambalo ndio lingekuwa mwarobaini wa matatizo yote tunayoyaona kwenye serikali hii.

Mimi ni mmoja wapo ya waliotoa maoni kwenye ile katiba ya Warioba tena nakumbuka zoezi hilo la kukusanya maoni lilinikuta niko school. Huwa unaniuma sana kuona jinsi mawazo na fikra zangu zilivyosiginwa na wachache tu kwa maslahi yao binafsi.

Jaji mstaafu Warioba alifanya kazi nzuri na kubwa iliyotumia gharama kubwa sana, ile katiba yake ni moja ya katiba bora kabisa na kama tungeipitisha basi leo naamini kabisa tungekuwa mfano wa kuigwa na nchi zingine za kiafrika. Lakini maccm yakiongozwa na bwana yule kutoka msoga kwa madhira yao ya kishetani yakaamua kuipiga chini hili tuendelee kubaki hapa tulipo inatia hasira kweli.

Kikwete and his crew will definitely be held accountable for that treasonous misdemeanor once we overthrow this fascistic ruling party that strongly shields them against any form of public aversion. I now appeal to all of us to stop these incessant unheard outcries that have never been helpful and take to the streets to call for what is rightfully ours(constitutional amendment)
 
Back
Top Bottom