Janjaweed upo sahihi, kadri miaka inavyozidi kwenda ndivyo tunavyozidi kurudi nyuma, tunapoteza mwelekeo as if ni meli ipo baharini haina rubani iliyopoteza dira inasombwa na upepo tu kadri mawimbi yanavyokuja kwa kasi.
Cha msigni sasa ni kuchukua hatua za haraka sana - ili tuendelee na safari yetu. kwa mfano ni kipi tulichokifanya cha kujivunia tangu wakoloni waondoke 1961? Mtu akisema "umoja wa kitaifa" upi? Uliogeuzwa kuwa mtaji wa wizi wa mali za umma harafu wengine wakae kimywa ili kulinda umoja na mshikamano wa kitanzania?
Hatuwezi chochote why, tumelogwa na aliyetuloga kashakufa au? lazima tuanze revolution haraka sana - tunataka majibu yatokee October 2010.
Its our turn now that "We need a change that we can believe in" hayo uliyoandika nikisoma tena nahisi uchungu moyoni kwangu, this country bwana....mmmmhhh -watu wameifanya yao wenyewe...Come October we will see...
we taratibu aisee.. kuna usalama wa taifa humu😀
Taratibu jamani, vipaumbele ni vingi na wanakwenda taratibu, taking one at a time.
Wakati mwingine utegemeziw wetu nao umevuka mipaka. Kwa mfano kwenye hiyo shule - Uongozi wa kijiji umeshindwa kabisaaa kuitisha harambee na kuhamasisha wanakijiji kuvyafuta tofali na kuzichoma??
Kweli viongozi wetu ni 'reflection' ya sisi wenyewe. Kumbe mkuu wa kaya anapozunguka nje ya mipaka ya nchi yetu kutembeza bakuri la omba omba, anakuwa anawakilisha mindset yetu
Sio mpaka mkuu wa Mkoa afike hapo na viboko ndo viongozi husika wachukue hatua.
Kwa style hii, hatutafika popote na karne ya 25 itatukuta hapohapo