Hivi tukio hili tunaweza kuliweka kundi la Uchawi? Niliyoyaona live siku ile

Scars jamaa alikua hafanyi tamasha...alikua mwanafunzi tena mgeni alihamia tu. kuhusu kua na crew hapana maana me mwenyewe mwanzo nilibisha mpaka alipofanya akaniambia jisachi na sio mara 1 kuna vitu vingi alikua anafanya ilifika kipindi mpaka walimu walitaka kumfukuza shuleni...kwahiyo hoja ya trick mkuu naona haingii akilini mtu anameza ela unasema trick
Tutumie mifano hai ambayo wote tunaweza kuwa na access ya kuangalia na kupima

Magician maarufu na mshindi wa AGT kwa season nyingi anayeitwa shim lim nadhani huyu ni performer ambaye performance zake ni extraordinary kuliko huyo unayemzungumzia

Naomba uangalie hii video niliyokuwekea hapa chini halafu uje unipe majibu yako kua kilichofanyika hapa ni uchawi au trick na kinatofautianaje na kile ulicho kishuhudia huko. Halafu uniambie kati ya hii video na hicho ulichokiona huko kipi chenye complex kuzidi chenzie

Upo sahihi Kwa Uelewa wako.

Hata wewe Kama mtu angetokea mtu Karne ya 16 akasema Bufa atazaliwa Karne ya 20 ungesema ni Stori ya kusadikika.

Au miaka ya 3000 huko mtu akisema ulikuwepo wapo watakaosema ni Stori za kusadikika.

Mimi siamini Uchawi wala ushirikina, Ila hakunifanyi niamini havipo.

Kusema hakuna Uchawi ni kusema hakuna miujiza, kusema hakuna Shetani ni kusema hakuna MUNGU.

Na yeyote asemaye hivyo biblia imemtaja Kama Mpumbavu.

Biblia uliyoletewa na mizungu ili uwe mtumwa wao wa milele.
 
Tutumie mifano hai

Naomba uangalie hii video niliyokuwekea hapa chini halafu uje unipe majibu yako kua kilichofanyika hapa ni uchawi au trick
nimekuelewa vizuri kuhusu wengne kutumia tricks

ila me niliuliza mtu kumeza ela afu inatokea kwenye mfuko wa mtu mwengine anatumia trick gan? umelezea baadhi ya tricks anazoweza kutumia lakini haziendani na alichokua anakifanya kwasababu hizi

Jamaa alikua mgeni asingeweza kupata crew haraka hivyo maana hata icho kitendo alifanya siku ya 2 baada ya kuhamia

Alifanya kwa watu tofauti na mimi nikiwemo sasa ni trick gani unahisi alikuanatumia mkuu?
 
Simu unayotumia imeletwa na nani?
chupi ya mkeo tu utakuta made in norway

Akili yako haina akili.

Simu na biblia ni sawa?

Simu natumia kuandika hili jibu, Mungu uliyeletewa na mizungu/miarabu umewahi kumuona?

Wewe unayemuamini na asiyemuamini tofauti yenu ni nini?

Ndo maana unaamini hizi story, huna hata uwezo wa kufanya comparison sahihi.
 
watu wenye ufaham mdogo kama wewe ni kawaida yao kuwaona wajinga watu walotofautiana nao mitizamo juu ya jambo lolote.

Kuwa na mitazamo tofauti is one thing, kuendelea kuamini story za kusadikika ambazo time and again hazijathibitishwa zaidi ya kusimuliana story tu ni uzwazwa.

Kuna mtu alileta uzi humu JF kwamba kuna diwani Kigoma alikufa kisha akafufuka nikasema mtu yeyote anipe jina tu la huyo diwani nitamlipa laki tano hadi leo sijapata hilo jina. Si mleta uzi wala wachangiaji waliweza kutoa jina ila karibu watu wote kwenye uzi waliamini hiyo story. Hivi ndivyo story zote za kishirikina zilivyo watu wanaamini tu kama nyumbu.

nimekuelewa vizuri kuhusu wengne kutumia tricks

ila me niliuliza mtu kumeza ela afu inatokea kwenye mfuko wa mtu mwengine anatumia trick gan? umelezea baadhi ya tricks anazoweza kutumia lakini haziendani na alichokua anakifanya kwasababu hizi

Jamaa alikua mgeni asingeweza kupata crew haraka hivyo maana hata icho kitendo alifanya siku ya 2 baada ya kuhamia

Alifanya kwa watu tofauti na mimi nikiwemo sasa ni trick gani unahisi alikuanatumia mkuu?
Usiseme mtu kameza hela, kumbuka hilo ndio lengo la msanii analotaka wewe uone hivyo ukisema umeona mtu kameza hela hapo tayari ushakua deluded kuwa ulichokiona ndio kilichofanyika.

We unaona sanaa ya mtu kumeza hela ni complex wakati kuna magician wanameza hadi mapanga? na hayo yote nayaelezeka na kufundishika bila hata kuhusisha uchawi, ni tricks tu za kutu misdirect macho ya-focus kwenye kitu kimoja wakati kuna jambo lingine linafanyika

Ungechukua muda kumtazama shin lim nadhani ungeelewa vyema namna tricks zinavyofanywa. Shim lin alihojiwa kwamba anajiskiaje kuona hizo tricks zake zinafundishwa youtube alisema yeye hana noma kwa maana kwamba mtu yeyote anaweza kuona ujanja anaoutumia stejini akipoferm

Utofauti ni kwamba hata ukiona udanganyifu huo hautaweza kufanya hizo tricks kwasababu itakuchukua miaka kuzi master kama ambavyo mtu anayejifunza piano anavyochukua muda mwingi kui-master
 
Usiseme mtu kameza hela, kumbuka hilo ndio lengo la msanii analotaka wewe uone hivyo ukisema umeona mtu kameza hela hapo tayari ushakua deluded kuwa ulichokiona ndio kilichofanyika.

We unaona sanaa ya mtu kumeza hela ni complex wakati kuna magician wanameza hadi mapanga? na hayo yote nayaelezeka na kufundishika bila hata kuhusisha uchawi, ni tricks tu za kutu misdirect macho ya-focus kwenye kitu kimoja wakati kuna jambo lingine linafanyika
Elezea vizuri hapa jambo gani ilo analifanya
[/QUOTE]
itakuchukua miaka kuzi master kama ambavyo mtu anayejifunza piano [/QUOTE]
kwamba hata trick ya kumeza ela tu itachukua muda mrefu?
 
Elezea vizuri hapa jambo gani ilo analifanya
itakuchukua miaka kuzi master kama ambavyo mtu anayejifunza piano
kwamba hata trick ya kumeza ela tu itachukua muda mrefu?
[/QUOTE]
[/QUOTE]

Kumeza hela ni tukio ambalo macho yako yameona, na hiyo ni baada ya kuwa tricked

Hilo ni lengo ambalo mwana mazingaombwe alitaka wewe uone hivyo, theres something hidden behind that

Kihalisia ni kwamba hakuna tukio la kumeza hela lililofanyika kwenye hayo maonesho, bali ni ujanja wa ku-misdirect macho na kuona kwamba mtu kameza hela

Hata hiyo clip niliyokuwekea hapo juu inayoonesha mtu akimeza upanga, uhalisia wake ni tofauti kwa maana kwamba sio kweli kua mtu alimeza upanga.

Unachokizungumzia wewe kwenye ishu ya kumeza hela ndio shabaha ya magician ambayo alitaka wewe uone, ni sawa na mtu anayesema ameona mtu kameza upanga.

Hizi ni tricks zinafundishwa na watu wanalipia ada, we unasema uchawi
 
Kuwa na mitazamo tofauti is one thing, kuendelea kuamini story za kusadikika ambazo time and again hazijathibitishwa zaidi ya kusimuliana story tu ni uzwazwa.

Kuna mtu alileta uzi humu JF kwamba kuna diwani Kigoma alikufa kisha akafufuka nikasema mtu yeyote anipe jina tu la huyo diwani nitamlipa laki tano hadi leo sijapata hilo jina. Si mleta uzi wala wachangiaji waliweza kutoa jina ila karibu watu wote kwenye uzi waliamini hiyo story. Hivi ndivyo story zote za kishirikina zilivyo watu wanaamini tu kama nyumbu.

kwa hiyo hata aliejifungua kuku kigoma hukuona? au aliejifungua karunguyeye mwanza hukuona? au unataka uthibitishe kwa kutokewa mwenyewe?
 
kwamba hata trick ya kumeza ela tu itachukua muda mrefu?
[/QUOTE]

Kumeza hela ni tukio ambalo macho yako yameona, na hiyo ni baada ya kuwa tricked

Hilo ni lengo ambalo mwana mazingaombwe alitaka wewe uone hivyo, theres something hidden behind that

Kihalisia ni kwamba hakuna tukio la kumeza hela lililofanyika kwenye hayo maonesho, bali ni ujanja wa ku-misdirect macho na kuona kwamba mtu kameza hela

Hata hiyo clip niliyokuwekea hapo juu inayoonesha mtu akimeza upanga, uhalisia wake ni tofauti kwa maana kwamba sio kweli kua mtu alimeza upanga.

Unachokizungumzia wewe kwenye ishu ya kumeza hela ndio shabaha ya magician ambayo alitaka wewe uone, ni sawa na mtu anayesema ameona mtu kameza upanga.

Hizi ni tricks zinafundishwa na watu wanalipia ada, we unasema uchawi
[/QUOTE]
mkuu unachokieleza ndo uchawi/ushirikina.
 
kwa hiyo hata aliejifungua kuku kigoma hukuona? au aliejifungua karunguyeye mwanza hukuona? au unataka uthibitishe kwa kutokewa mwenyewe?
Huyo wa karunguyeye nilipata bahati ya kusikia hiyo habari, kiukweli ni kwamba hilo tukio ni la kutungwa halina uhalisia wowote, madaktari walifanya vipimo wakagundua kua huyo mama hakuwahi kuwa na mimba yeyote

Mazingira ya tukio kwa maelezo yake ni kwamba alijifungulia chuoni, huko chooni alikuwa peke yake hakuna mwingine aliyeshuhudia, tutakubalije madai hayo kua ni ya kweli wakati hata ambapo alipofanyiwa diagnosis kama alikua na mimba majibu yalionesha kinyume?

Hizo ni scripts tu kama ambavyo yule mama wa chamanzi alivyompanga teja kuwa mzigo huu wa mahindi nakupa uubebe afu ukautangazie umma umerogwa na huu mzigo hautoki kichwani
 
mkuu unachokieleza ndo uchawi/ushirikina.
Sio uchawi ni ujanja tu ambao hata mimi naweza nikajifunza

Ukiniambia mtu anayeonekana kumeza panga ambalo kihalisia ni plastic ambalo akilidrag kwenye ulimi lina bonyea na kuonekana kama limemezwa ni uchawi basi hapo tutakua tunapishana maana ya neno uchawi
 
kwa hiyo hata aliejifungua kuku kigoma hukuona? au aliejifungua karunguyeye mwanza hukuona? au unataka uthibitishe kwa kutokewa mwenyewe?

Nilijibu haya yote kwenye huo uzi hadi lile kaburi la Kiyeyeu kule Isimila Iringa najua waamini ushirikina msivyopenda kutumia bongo zenu kama nyumbu mnapenda sana ile story.

Kuhusu mama aliyedai kajifungua kuku niliandikia hivi:

Hakuwa mjamzito bali aliingiziwa kuku kwa ujinga wakuamini ushirikina kama nyie midanganyika mengine. Na sio yeye tu wapo kibao wanaoingiziwa hadi mawe bdae wanasema wamejifungu mawe ilhali hawakuwa wajawazito to begin with.

"Pia amedai, tukio hilo linahusishwa na imani za kishirikina kwa kuwa vipimo vinaonyesha mama huyo hakuwa na dalili yoyote ya ujauzito na haoneshi kama alikuwa na ujauzito."

Jisomee zaidi hapa: Mwanamke ajifungua kuku Kituo cha Afya Uvinza

Tatizo lenu mkisikia story yeyote inayohusu ushirikina mnaamini pasi kufikirisha bongo zenu. Mnaambiwa wachawi wanapaa hamjawahi kuona mtu hata siku moja anapaa ila bado mnaamini kisa tu mnaona waigizaji wamejipaka mikaa makanisani wanadai wameanguka.

Kwa majibu zaidi pitia huo uzi wa Diwani Kigoma.

Tumieni bongo zenu acheni uzwazwa, sio kila story mkiambiwa mnaamini tu kama nyumbu.
 
Huyo wa karunguyeye nilipata bahati ya kusikia hiyo habari, kiukweli ni kwamba hilo tukio ni la kutungwa halina uhalisia wowote, madaktari walifanya vipimo wakagundua kua huyo mama hakuwahi kuwa na mimba yeyote

Mazingira ya tukio kwa maelezo yake ni kwamba alijifungulia chuoni, huko chooni alikuwa peke yake hakuna mwingine aliyeshuhudia, tutakubalije madai hayo kua ni ya kweli wakati hata ambapo alipofanyiwa diagnosis kama alikua na mimba majibu yalionesha kinyume?

Hizo ni scripts tu kama ambavyo yule mama wa chamanzi alivyompanga teja kuwa mzigo huu wa mahindi nakupa uubebe afu ukautangazie umma umerogwa na huu mzigo hautoki kichwani

Nimemuwekea hadi link ya maelezo ya polisi aliyepinga uhalali wa hilo tukio.

Wakitoka hapo watakuja na story ya kaburi la Kiyeyeu kule Isimila Iringa. Wapo programmed kama nyumbu kabisa.

Inashangaza sana mtu karne hii anaamini story ya hearsay kama ilivyo bila kufanya reasoning kabisa. Maelezo yao hayana logic hata kidogo tukiwaita mazwazwa wanasema tunatukana.

Wajinga hawawezi kuisha na wanaukumbatia ujinga kwa gharama yeyote ile. Smh
 
Mkuu una msimamo wa Yesu Kristu kwa kweli!

Yaani hau'seduce'ki hadi ndotoni, yaani una msimamo usioyumba hadi ndani ya njonzi!

Ikikupendeza unambie kuhusu huyo mdada wa ofisini, alikuwa na haiba gani na mliendeleaje baada ya kumpa'shua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwamba hata trick ya kumeza ela tu itachukua muda mrefu?
[/QUOTE]
Kumeza hela ni tukio ambalo macho yako yameona, na hiyo ni baada ya kuwa tricked
[/QUOTE]
hapo baada ya kuwa tricked ni kipndi gani cha tukio? maana kumeza ela ndio kilikua kitendo cha kwanza.! unataka kusema anakutrick kabla ya kuanza hiyo show ya kumeza ela?
 
Back
Top Bottom