khaaaa! ndio maana kuna kajirani kangu hapa hakaolewi mpaka leo halaf ikiingia jioni tu utakaskia kanapiga makelele peke yake kama mlango wa gereji. dah!Tango anafaa kwa kachumbari tu bwana sio kama madude yetu yale,huwezi kuyafananisha wakati mwingine hata na baadhi ya .......
khaaaa! ndio maana kuna kajirani kangu hapa hakaolewi mpaka leo halaf ikiingia jioni tu utakaskia kanapiga makelele peke yake kama mlango wa gereji. dah!
watu tunaingia mwaka wa arobaini bila bila.
Naruhusiwa kuhakikisha?
Kwa manaume ambae alishaionja **ma hawezi kumaliza wiki 2 atapata tabu sana,ile kitu sio mchezo.
Mmmh na wewe hako kaugonjwa si kwakutokufanya sasa mtu atapataje ugonjwa wakati bado hajaanza kufanya?Mimi mwenyewe nimesoma boarding school hatujawahi kushikwa na huo uginjwa mnatuzishia jamani, katika hili wanaume ndio huwa hawawezi kulingana na nature ya maumbilekuna ugonjwa unaitwa chekelea unawapata mostly wasichana waliokwenye shule za bording single sex coz hawana acces na wanaume sa iktokea hivyo thnk wanawake wote watakua na chekelea yan ful kucheka mtaan mpka huruma