Hivi tukiamua 'tusifanye' mwaka mzima ni nani watakaoteseka sana WANAUME au WANAWAKE?

y mnataka kunyimana raha/starehe kubwa iliyobakia chini ya jua?...hebu huko.
 
mkuu uko Sahihi kabisa..ni hisia tuu na mawazo..ukijiweka busy na shughuli zako na mazoezi ya viungo kwa sana/ukatoa hisia za kungonoka inawezekana kuishi muda mrefu bila ngono
Yap sema watu wamekaa kufikiria ngono kila saa ndio maana utawasikia wengine wanakwambia haiwezekani
 
wanawake tunaweza ila kwa wanaume kamwe haitowezekana itazuka balaa humu mi sisemi
 
kwa wanaume nazani watabaka mpaka vivuli vya makufuli yao.
kwa wanawake watasababisha ongezeko la bei ya ndizi na matango.

konklushen: haumalizi huo mwaka yesu ataludi.
 
kwa wanaume nazani watabaka mpaka vivuli vya makufuli yao.
kwa wanawake watasababisha ongezeko la bei ya ndizi na matango.

konklushen: haumalizi huo mwaka yesu ataludi.
Ankal unataka kusema tango moja litakuwa linauzwa buku kumi
 
Ankal unataka kusema tango moja litakuwa linauzwa buku kumi
inawezekana likauzwa kwa foreign currency, usfanye mchezo wewe. halaf hizi nyimbo za mipasho zote zitaelekezwa kwa matango. for ekzample,
tango langu la ifakara watajijuu wenye matango ya kiborloni! kwa ufupi matango yatakuwa selebriti.
 
hivi bado mna matango tu,siku hizi tumeendelea tunamadude zaidi ya mlionayo tena ya uvuguuu
 
hivi bado mna matango tu,siku hizi tumeendelea tunamadude zaidi ya mlionayo tena ya uvuguuu
matango hayana side effect (confirmed mzumbe), halaf added advantage ukimaliza shuhuli yako Mr tango unamgeuza kachumbari la pilau.
 
ni kweli kabisa
Hili hata yule jamaa wa hapa JF anayepara miwa (Mohamed Shossi )analijua vizuri
kumbe mohd shossi anaparamiwa?tulikua hatujui uwapi ewe malenga shossi ujibu hizi ngeli uwapi msanii wetu shossi je kweli waparamiwa pale mchambawima?
 
matango hayana side effect (confirmed mzumbe), halaf added advantage ukimaliza shuhuli yako Mr tango unamgeuza kachumbari la pilau.

Tango anafaa kwa kachumbari tu bwana sio kama madude yetu yale,huwezi kuyafananisha wakati mwingine hata na baadhi ya .......
 
Back
Top Bottom