Hivi tukiamua 'tusifanye' mwaka mzima ni nani watakaoteseka sana WANAUME au WANAWAKE?

Dumelambegu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,052
257
Ndugu zangu,

Habari ya Karume Day. Leo nakuja na swali jingine la kizushi. Je, tukiamua nchi nzima tusifanye ule mchezo wa kikubwa kwa mwaka mzima ni nani 'watakaozidiwa' kiasi cha kuonekana dhahiri kuwa wana njaa ya ule mchezo?
 
Nawaonea huruma watoto wadogo ,mbuzi kuku na mifugo mingine, vitabakwa mpaka vikimbilie porini na kuwa wanyapori wa kisasa
 
Madaktari watusaidie basi maana mambo ya ku guess haya hayafai tuende kisayansi zaidi
 
Ukweli tutapata tabu bt 2tajikaza kwani na nyinyi hamkapendi haka kachezo me csemi uongo m***pa ukicmama akili zangu zinanitosha mwenyewe cjui na nyinyi mukiwa munakumbatia mtoto ucku inakuaje ?
 
kuna ugonjwa unaitwa chekelea unawapata mostly wasichana waliokwenye shule za bording single sex coz hawana acces na wanaume sa iktokea hivyo thnk wanawake wote watakua na chekelea yan ful kucheka mtaan mpka huruma
 
yani kua hata pekeyetu tusijifanye au tusifanye tu na wenzetu?? mh! aisee yale magonjwa ya kucheka hovyo ya wadada yatakua mengi mno.
na wanaume wengi watkua na hsira kchizi
uwezekano mkubwa wa kutokea social corhesion upo.
bei za pombe zitapanda mara kadhaa
wanawake wengi watakonda na wnaume wengi watanenepa
maambukizi ya VVU na UKIMWI yatashuka kwa kiwango kizuri
hata hivyo sehem nyingi za mapumziko kama mabaa, gest na hotel, club n.k zitakosa biashara kwa kiasi notable

Wengine wataendelea.
 
Tatizo letu binadamu ngono tumeigeuza starehe wakati ipo kwa ajili ya kuendeleza kizazi.Angalia wanyama wao huingiliana pale tu wanapokuwa 'on heat' na hicho kipindi kikipita wanalea mimba,wanazaa na kutunza ndama zao. Ngono sio jambo la lazima kila siku kama tunavyodhania ,kujiendekeza tu ndo kunatusumbua.Actually ukisoma historia ya mayogi wakubwa wa Himalaya na mashinto priests wakubwa wa Japan ya kale wao walikuwa hawajiruhusu kamwe kutoa shahawa zao maishani mwao na kwa kufanya hivyo walikuwa wanafikia purity(usafi wa ndani) wa hali ya juu sana na sura zao zikawa zinang'ara na wakawa wanakuwa na maono ya ajabu.Hata recently mtu kama Albert Einstein soma historia yake,hakuwa mtu wa ngono kwa sana.Tupunguze jamani.
 
Mbona kuna theory inatuambia ngono inajenga afya njema kama ikifanyika wakati wake, mahali pake na kwa partner sahihi!
 
Wanawake ndio watateseka sana, kwani wanaume wana unvoluntary mechanical way ya kupunguza stress; mf kwa kuota!
 
Back
Top Bottom