Leo hali isiyokuwa ya kawaida nimeshuhudia trafiki akimpiga ngumi dereve aliyemkamata kwa kosa la kutanua, hii mnaionaje wana Jamii, hebu tusaidieni mchango wenu wa mawazo ili tujue haki yetu sie wananchi.
Kisheria hakuna polisi aina yeyote anayeruhusiwa kumpiga raia. Labda pale raia anpotumia nguvu kupinga kukamatwa ndo polisi naye aweza fanya hivyo. Sasa kwa polisi barabarani ndo kabisa haruhusiwi hata kuchukua leseni,kuingia kwenye gari mwende polisi au Hata kuchukua kadi ya gari au funguo. Huo ni utaratibu mbovu police waliojiwekea na kwasababu raia wengi hatujui haki yetu inakuwa tabu
Kuna trafic officer mmoja aliwahi kunikama akataka kuichana leseni yangu.
Nikamwambia "....weeeee! thubutu kwanza kama wewe ni mwanaume kweli...."
akafyata lkama jibwa koko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.