Ndg. Wapendwa jana katika tarifa ya habari ya saa mbili usiku TBC walitangaza kuwa kiwango cha kufaulu matokeo kidato cha nne "chapanda" ikilinganishwa na mwaka uliotangulia. Hata Thread iliyokuwa ikipita chini ya luninga ilisoma hivyo. Tofauti na TBC, TV nyingine zilisema kiwango kimeshuka! hata magazeti ya leo yanathibitisha hilo!.
Swali, TBC walilenga kumdanganya nani? kwa malengo/makusudi/ gani? na manufaa ya nani? Chombo cha Umma kinapiga siasa hata katika maswala ya msingi kweli! Kunahaja ya kuwa na taasisi ya umma potofu kama hii?

kwa kweli hata mimi jana baada ya kuangalia taarifa hiyo ITV ilisema kiwango kimeshuka, ajabu nilishangaa nilipotune TBCCM ikasema kiwango kimepanda nilipigwa butwaa, ukweli kiwango kimeshuka kwa takribani asilimia 20.
TBC sio television bali ni tel-lie-vision.
Didia, Hivi huoni unjaza tu server za watubila sababu?, threads nyingine bwana!! umeona ukweli unao taka kweneye TV stations zingine na Magazeti then what else do you need? next time just tune to your best TV/Radio/News paper period!
yaani huwezi hata kufanya maamuzi ya nyumbani kwako hadi utafute ushauri humu?
Ndg. Wapendwa jana katika tarifa ya habari ya saa mbili usiku TBC walitangaza kuwa kiwango cha kufaulu matokeo kidato cha nne "chapanda" ikilinganishwa na mwaka uliotangulia. Hata Thread iliyokuwa ikipita chini ya luninga ilisoma hivyo. Tofauti na TBC, TV nyingine zilisema kiwango kimeshuka! hata magazeti ya leo yanathibitisha hilo!.
Swali, TBC walilenga kumdanganya nani? kwa malengo/makusudi/ gani? na manufaa ya nani? Chombo cha Umma kinapiga siasa hata katika maswala ya msingi kweli! Kunahaja ya kuwa na taasisi ya umma potofu kama hii?
Mzee vipi umeomba ajira huko TBCCM? maana huyo bwana anataka kupata maoni toka kwa wana JF na kuweka ukweli wa hicho chombo hadharani ili tuwe waangalifu kwenye habari zao na tusiziamini bila kujiridhisha kwenye vyombo vingineDidia, Hivi huoni unjaza tu server za watubila sababu?, threads nyingine bwana!! umeona ukweli unao taka kweneye TV stations zingine na Magazeti then what else do you need? next time just tune to your best TV/Radio/News paper period!
yaani huwezi hata kufanya maamuzi ya nyumbani kwako hadi utafute ushauri humu?
Ahahahahahaaah eti TBCCM, kweli hili jina ndilo linawafaa.Jamani hivi watu bado mnaangalia hii televisheni?
Nashangaa tena wanaangalia habari!Jamani hivi watu bado mnaangalia hii televisheni?