Hivi supu ya mapupu ndiyo ya mapumbu au?

Hivi supu ya mapupu ndiyo ya mapumbu au?

Mapupu ni mapafu yale na mabandama.
Miongoni mwa supu za bei rahisi ni hiyo ya mapupu.
Sehemu zote za uswahilini au sehemu za Walevi supu ya mapupu hazikosi.

Bei yake elekezi karibia maeneo yote ni shilingi mia Tano tu 500
Sijawah kujichanganya nazikuta sana pale msimbaz jion.zimejaa masufuria zinafuka moshi. Ndimu pilipill .siwez kuzila hata kwa dawa
 
Sijawah kujichanganya nazikuta sana pale msimbaz jion.zimejaa masufuria zinafuka moshi. Ndimu pilipill .siwez kuzila hata kwa dawa
Ujaribu siku Moja mkuu uone 😁
Binafsi Huwa nakula supu ya mapupu kama maji yamefika shingoni, yaani kama Simba kula majani anapozidiwa.

Pamoja na yote ni supu nzuri kulingana na bei yake
 
Kama ilivyo kwa kuku, kuna vile vitu vya ndani sio rahisi kukuta zinauzwa sehemu kama hotelini, hvy hvy kwa wanyama kama ng'ombe kuna viungo vya ndani huwezi kukuta zinauzwa au kuliwa kama mapafu, utumbo, bandama.

Sasa uswahilini ndo tunayaita mapupu.
 
Back
Top Bottom