Hivi supu ya mapupu ndiyo ya mapumbu au?

Hivi supu ya mapupu ndiyo ya mapumbu au?

Nimefika sehemu nikaambiwa leo wanapika supu ya mapupu tu, nikasita kununua, huvi mapupu ndio kapumbu (makende)?
kula supu ya asili hiyo ya uswahilini ponjoro acha kunata na kujipa uspesheli jukwaani,

halafu acha kupiga kamba wadau wa jf,
yaani unajua kutukana na kuporomosha matusi yote ya uswahilini halafu eti ng'we ng'we ng'we supu ya mapupu ndio nini? :1Head:
 
Mpelekee yule jamaa pale mapupu mawili na chapati mbili...mchuzi weka mwingi na ndimu kwa wingi.....
20241208_200529.jpg
 
Naelewa japo, hofu ni kuwa tusijekuwa tunachanganyiwa na nyama kama ukinunua nyama mchanganyiko.
hahahahaha, hapana, nyama inawagawanywa mara 4 ile kule machinjioni
1.nyama fresh kwenda buchani
2.makongoro na kwato
3. utumbo
4.ndio hayo sasa mabaki ya ndani ya ngo'mbe, mapupu,kichwa, nk
 
hahahahaha, hapana, nyama inawagawanywa mara 4 ile kule machinjioni
1.nyama fresh kwenda buchani
2.makongoro na kwato
3. utumbo
4.ndio hayo sasa mabaki ya ndani ya ngo'mbe, mapupu,kichwa, nk
Hii najua lakini siku hizi ukiagiza mboga nyingi labda kama ya wiki au mwezi lazima uwekewe na ile nyama kama haieleweki hivi????
 
Back
Top Bottom