Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,657
- 10,025
- Thread starter
- #81
Okay basi mi nikajua ni mapumbu labda wameamua kupunguza ukali wa neno.Kama ilivyo kwa kuku, kuna vile vitu vya ndani sio rahisi kukuta zinauzwa sehemu kama hotelini, hvy hvy kwa wanyama kama ng'ombe kuna viungo vya ndani huwezi kukuta zinauzwa au kuliwa kama mapafu, utumbo, bandama.
Sasa uswahilini ndo tunayaita mapupu.