Hivi sisi wanaume wa siku hizi tuna akili kweli? Mbona hawa wanawake watatuua!

Asijua tamthilia utampata wapi zama hizi
Sio hawa amezaliwa mjini
Amekulia mjini
Amesomea mjini

Nenda kawasalimia bibi, babu kijijini kule kijijini kwenu, kipindi form 4 wamemaliza mitihani, utapata atakayekufaa.

(Isije ikawa nawe ni miongoni wa vijana walio zaliwa na kukulia mjini, na kushindwa kufahamu maisha mengine ya ndugu zetu huku vijijini)
--

Ushuhuda
Nimefanya kazi kijijini kwa zaidi ya miaka 10, Kuna maeneo kama Yaeda Ampa, (watu wa Mbulu wanafahamu haya maeneo), Huo ni mfano mmoja, Mabinti wakubwa kabisa wakiona gari au mgeni wanakimbilia ndani. Jamii kama hii itajulia wapi Tamthilia.
 
Hao ndo hatari zaidi yafaa uishi nao huko huko ukiwaleta tu kwenye taa wanakuwa makungwi kuliko born town.
Hawa watu tuishi nao tu kwa sababu wanatuzalia mengine atupswi kuuliza au kuchunguza maana ni kilio cha dunia kwa sasa.
 
Pisi inataka 50k afu sio alale ye anataka showtime tu halafu pisi yenyewe sio pisikali. Kweli wanawake wanatuona wanaume wa siku hizi mazamwamwa.
 
UMELALAMIKA Kama nakuona vile mkuu😂😂😂😂
 
Ni fantasy za mwanaume kuwa na mke bora atakaekuwa Mama na mlezi bora wa watoto.
Ukweli ni kwamba hakuna mwanamke bora. Wote ni sawa tu, wabinafsi, choyo, chuki na wivu wa kijinga ndii zao.
Hawa viumbe ni wabinafsi mnoo mnoo
 
Treat her like queen.. she will treat you like a fan
 
WaPo hivyo toka Enzi za Pontyo WA Pilato
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…