Hivi Serikali ina mpango gani kwenye mikopo ya elimu?

Hivi Serikali ina mpango gani kwenye mikopo ya elimu?

Trainee

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
3,020
Reaction score
4,027
Hivi Serikali ina mpango gani na hawa vijana kwenye mikopo ya elimu?

Kuna utaratibu mpya wa kupata barua za utambulisho kwenye mfumo maalumu wa serikali unaitwa NAPA

Lakini watendaji wa vijiji hawajapewa mafunzo yoyote kuhusu huo mfumo

Matokeo yake vijana wanashindwa kufanya lolote kwenye mfumo wa bodi ya mikopo

Halafu tarehe ya deadline imeshawekwa bila shaka
 
Kipaumbele kwasasa ni kushinda
 
Mkuu biashara ya hela mwishoni ni kuzalisha faida kwa maslahi ya inner circle.
 
Back
Top Bottom