Hivi Samia anawajua Wakenya kweli?

Hivi Samia anawajua Wakenya kweli?

Hon. Peter Salasya
MP MUMIAS EAST CONSTITUENCY

Mama Samia, please leave us alone. Comparing Kenya to Tanzania is like comparing Kenya of 1982–1992, when our great leaders who fought for democracy were being mistreated, to what is happening in Tanzania today. The way you are handling Tundu Lissu reflects that same era—he has been arrested and remains in jail to date.

Kenya has moved forward. It feels as though Tanzania is where Kenya was 40 years ago in terms of democracy. Here in Kenya, we have freedom of speech, freedom of expression, and an independent judiciary. While it may sometimes face intimidation, the existing structures still allow justice to prevail in the long run.

We also have an active Law Society and strong civil society organizations that continue to advocate for democracy and accountability. We have come a long way.

So, Mama Samia, please keep your advice to yourself. Remember, even both a former president and a sitting president have faced the ICC. In Kenya, the Constitution is supreme, and it must be respected.
 
Kila siku mnajifurahisha kwa kusema siasa za Kenya ni za ukabila, hizo siasa zenu za ccm za kujipachika kwa kuiba kura zimewasaidia nini. Mnaua watoto wenu wenyewe kwa kuwateka kila siku halafu mnawanyoshea vidole wenzenu wanaochaguana kidemokrasia kwamba ni ukabila!
kenya hakuna siasa wala demokrasia bali majivuno na ubaguzi wa kikabila tu,
hayo mengine ni maoni nonsense
 
Kenya sio Tanzania demokrasia yao ni kubwa kuliko yetu na freedom of expression iko juu sana, nafikiri Ruto alikuwa anamkubalia tu kwa vile ni mgeni wake.

Wakenya hasa Gen Z wa Kenya ni next level hata Ruto mwenyewe anawaogopa juzi karushiwa chupa ya maji.

Last time GenZ wa kenya walipomshukia Samia alianza kulialia kuwa wanamdhalilisha kwa kumchora akiwa uchi na kwenye jeneza this time lazima azimie, nasikia kiongozi wa ODM amemjibu.

"Mama anasema tuchapwe mikwaju, tutalinda demokrasia ya nchi yetu kama watoto watovu wa adabu".

Baada ya Samia kuharibu taswira yake anamdanganya na Ruto ili wafanane.

Ruto usikubali ushauri huu anataka kukuponza.

Wait & see.

UPDATES:
Asante Ruto kwa kukataa ushauri wa Samia. Samia anachojua kusolve tatizo ni kuua.

View attachment 3584264
Shetani anatafuta wafuasi wa kwenda naye the Hague
 
Back
Top Bottom